Uchaguzi 2020 Kishindo kikubwa Musoma: Lissu apokelewa kama shujaa

Kikao cha wakurugenzi na rais leo hayo ndio yalikuwa maagizo. Hata wapinzani wapate kura nyingi kiasi gani, hayo ndio matokeo yanayotakiwa na ccm.
Wakurigenzi wana kazi kubwa na nzito.
 
Sawa
 
Acha uongo mkuu,hii ni video ambapo wananchi wa Tanganyika walikuwa wana pokea majeshi ya tanzania kutoka kwny vita ya uganda mwaka 1979.
Mwaka 1979 bendera za chadema zilikuepo?
 
Si waruhusu tu media ziandike habari za upinzani wanazizuia za Nani Hali watu still wanajaa mikutano ya upinzani. Mind control haliwezekani kwa akili za kijima
 
Maana mambo mengi hasa machafu ya awamu hii yalikuwa hayasemwi
Lisu kaja kufungua watu [emoji123]
 
Wewe ni mmoja wa watakaokuwa wanalalamikia na kulilia Katiba mpya baada ya matokeo ya uchaguzi kwa kigezo kongwe cha kuibiwa kura
 
Misemo ya Miaka yote hiyo
Kwani 2015 si mlidanganywa kuna kesi imefunguliwa ICC au mnajisahaulisha
Whatever! this is 2020, leo siyo jana au juzi! ICC inamuita mtu, hakuna mchezo safari hii!
 
Acha uongo mkuu,hii ni video ambapo wananchi wa Tanganyika walikuwa wana pokea majeshi ya tanzania kutoka kwny vita ya uganda mwaka 1979.
Kwahiyo kipindi hicho ili kua vyama vingi vimesha anzishwa maana kuna bendera zs chadema na sare za chadema pale

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli kasemaje kuhusu kitambulisho kwani,watu tunataka hela zetu manina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…