Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

UDINI ni dalili ya mtu anayekaribia kufa kisiasa.
WATANZANIA wenzangu, huyu Mgombea hatufai hata kidogo. Ukishaona Mgombea tena wa Urais wa Jamhuri anaanza kujinasibu kwa UDINI, huyo ni wa kumwogopa kama UKOMA. Madhara ya UDINI ni makubwa mno mno mno.
Mwalimu Nyerere alishasema, mtu akishafirisika kabisa kabisa kifikra huanza kujihalalisha kwa UDINI. Hii haikubaliki hata kidogo.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Serikali,Asasi, Makundi mbalimbali pamoja na Watanzania wote tunatakiwa kupaza sauti kukemea jambo hili.
Lakini, naomba hii iwe ndo tiketi pekee ya kuwanyima kura ifikapo October 28.
Tukiwapa Nchi hawa watatugawa vipande vipande kwa DINI zetu, kwa MAKABILA yetu na kwa KANDA zetu.
NB.Mtu anaye entertain UDINI si wa kumwonea haya hata kidogo.
Vyombo vinavyohusika vichukue hatua za haraka dhidi ya watu hawa.
 
Kura ya Zito inaonekana hapo,

Bila shaka Ponda ni mjumbe wa Zito Kabwe.
 
Yani hakuna kurudi nyuma.. lazima Lissu achukue nchi. Waislam na sisi tumesema baaaasi.. Ni Lissu tu sasa wa kukalia kiti cha uRais.
 
Shekh makini siyo hao mabakwata wala ubwabwa
 
Kuna watu walikua wanailalamikia bakwata na siasa haya ponda huyo nae na siasa wanaona sawa tu. Aiseee

Na ww ni mmoja wa wale tuliofuatwa kuunga mkono JPM kwa vipesa vile?
Wengine na ajira waka haidiwa.
Keep in mind, TL going to win and announced
 
Reactions: BAK
Mungu muumba mbingu na nchi tunakuomba mfanye lisu awe rais wa nchi yetu
 
Kumbe ulifata mkumbo mkuu nilidhan ulideki barabara. Sijawahi fata mkumbo.

Natamani JF wangeweka jukwaa la kutunza comments ningeitunza hii
Na ww ni mmoja wa wale tuliofuatwa kuunga mkono JPM kwa vipesa vile?
Wengine na ajira waka haidiwa.
Keep in mind, TL going to win and announced
 
Hapo umekubali mnahalalisha mlichokua mnakiona haramu. Haramu ni haramu mkuu
 
Kwa hali ilivyo kadri siku zinavyosogea kila upande unajaribu kutumia mbinu ya kubadilisha upepo wa Uchaguzi ili kujihakikishia ushindi kwa kura nyingi

Baada ya kuonekana kama kuna mbinu ya kuegemea taasisi za dini inatumika katika kubadilisha hali ya mambo kama tulivyo sikia matamko kutoka Mtwara kupitia BAKWATA kwamba watamuunga mkono yule

Mara tukaona na mapicha akiwa msikitini huku ikiombewa dua kana kwamba tulikua tunapewa ujumbe kuwa huyu ni wa BAKWATA apewe kura na waislam

Kwa bahati mbaya walisahau kuwa BAKWATA ina upinzani mkubwa sana katika jumuiya ya kiislam

Kwa mbinu hii CDM ni kama tayari mmebadilisha upepo wa uchaguzi na kujihakikishia ushindi mkubwa utakao washing azam watu.
 
Sio jambo geni hata babu seya mlisema kaonewa mkalalmika wee kaachiwa mnalalamika mbakaji kaachiwa. Kuweni na misimamo wakuu
 
Sijawahi hata siku moja kutamka popote au kuandika hata humu kama Babu Seya kaonewa.
Sio jambo geni hata babu seya mlisema kaonewa mkalalmika wee kaachiwa mnalalamika mbakaji kaachiwa. Kuweni na misimamo wakuu
 
Sasa ukristo wako unanihusu nini mkuu?aliyewaweka ndani ni muislam mwenzao mbona hamkupiga hizi kelele mpaka mnakuja kumbwagia mzigo asiyehusika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…