Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

..zamani magaidi walikuwa wanahusishwa na itikadi za ujamaa na ukomunisti.

..suala la uislamu kuhusishwa na ugaidi nalo linaweza kuwa la kupita.
Haliwezi kupita,kwa mentality hizi za viongozi wao.
 
Bonge moja la line up

TL
Maalim Seif
BM
Zkabwe
Mbowe
Heche
Babu Duni
Mazrui
Askofu Bagonza
Askofu Mwamakula
Mashangazi kama wote FK na MS
Sugu
Mdee
Mnyika
Jacob Boniface
Msigwa
Ismail Jussa
Former Ag wa Zanziba Masoud.

Changes are within the perimeter.. Rev wont be televised rather descends.

Kazi ipo kwa mataga yaani hata kimbunga cha Lowasa kilikiwa telemundo.
 
Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo Wanaomuunga Mkono Tundu Lissu wanavyojitokeza na kuzidi kuongezeka.

Mwangalie Sheikh Ponda Issa Ponda alivyotikisa Dodoma leo.

Video hii hapa

====

SHEIKH PONDA: WAISLAMU TUMEKUBALIANA TUTAMPIGIA KURA LISSU

Sheikh Ponda Issa Ponda amesema Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu kushinda kura za urais katika Uchaguzi Mkuu 2020 sio tatizo

Amesema waislamu wote wamekubaliana kumchagua Lissu. Hivyo atashinda tatizo linaweza kuja kwenye suala la kutangazwa

Pia Sheikh Ponda amesema Mungu atashindwa kusikia maombi na sala za watanzania kama hawatamchagua Tundu Lissu kuwa Rais

#JFLeo #JamiiForums #Uchaguzi2020 #TZ2020

View attachment 1603479View attachment 1603480View attachment 1603481

View attachment 1603231
Tundu Lissu Rais wa Tanzania nje ya ikulu
 
Back
Top Bottom