Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Hujui chochote kuhusu Uislam na Waislam.

Binafsi, siwaungi mkono BAKWATA wala Ponda. Mimi ni Muislam.
 
Hawa Masheikh ningekuwa na mamlaka sijui ningewafanyaje aisee. Maana wanawapoteza sana Waislamu huku na wao wakijipoteza.

Watu wajinga wa hii Dini, ndiyo wamekuwa viherehere wa kuizungumzia hii dini. Ila mtume alishayasema haya.

Uislamu na kupiga kura wapi na wapi ?
 
Sheikh Ponda amezungumza jukwaa moja na Tundu Lissu?

MUNGU ambariki Sheikh Ponda kwa wema huu.
Hapo hakuna baraka katika kumuasi Mola.

Labda awe hayo anayoyafanya hana elimu nayo na hayajui, hapo atakuwa amepona, ila kama anajua ya kuwa hicho anachokifanya ni makosa basi hakika anapata madhambi makubwa mbele ya Allah, na Allah atamuadhibu kwa kosa hilo labda atubie kabla umauti haujamfika.
 
Mwili umenisisimka kwa furaha kubwa na isiyoweza kuelezeka,CCM wameshindwa kumnunua Shekh Ponda. Hakika huyu ni Shekh anayesimamia miiko na maadili ya Uislam na kuyaishi!

Kura zote kwa Lissu!
Uislamu gani anao usimamia Shehe Ponda ? Mbona mnautukana Uislamu namna hii ?
 
Huyu ndiye Shehe pekee aliyebaki hapa Tanzania. Ponda ni kiongozi, Ponda ni mtu, Ponda ni mtu jasiri na hana unafiki kama wale walamba viatu vya binadamu.
Sasa mbona anaenda kinyume na Uislamu ?

Maana Demokrasia ambao ni mfumo wa kupiga kura ndani yake unaupiga Uislamu.
 
Dini jamani dini, mkionywa hamsikii, kwanini mwataka kutusambaratisha watanzania kisa imani?!
 
Sheikh Ponda kweli amesema kama Lissu hakuchaguliwa, basi Mungu hatapokea Dua za watanzania? Kama ni kweli basi Sheikh amekufuru sana, Shekh Ponda hana uwezo wa kumsemea Mungu, na hajui uamuzi wa Mungu utakuwaje.
Mimi siafiki matumizi ya dini katika siasa au kura lakini bila shaka wanaomjua Sheikh Ponda wamemulewa sana kama ni "Dua" ipi aliyoikusudia.
 
Huyu ndio amekuja kuharibu kabisa, maana huwa ana itikadi za kutokupenda amani ya nchi yetu, kwa ujumla CHADEMA tumebugi sana.
Tuondolee uccm wako wa kishamba hapa. Wana CCM wote wenye akili timamu watampigia kura Lissu. Wahutu jiandaeni kurudi kwenu Burundi mlikozoea kuchinjana.
 
Tahadharini Enyi wanadamu, move hizi za kuwa involves hawa mashekhe na mapadri katika siasa huenda ikahatarisha amani la Taifa letu' naona ni kama vile sukari inaelekea kukolea kwenye chai, siasa inaingia anga nyingine Mahasidi nao hawako mbali kutumia upenyo kutuvuruga
 
"Tulitamani kuwa na Kiongozi kama Dr.Magufuli,Tumempata, tunaendelea nae.
KURA YANGU KWA MAGUFULI "

#TulipotokaTunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena
#ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli
Kiongozi ambayo watu wanauawa wengine wanapigwa risasi halafu nakuja hatua yoyote ya kisheria inachukuliwa huyi ndie kiongozi mliemtaka???
Haki Uhuru na maendeleo ya watu ndio tutachagua mwaka huu uhai wa watanzania Ni bora kuliko hayo mandege na maflyova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…