Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

Tatizo lipo kwenye kutangazwa. Hapo ndipo penye mtihani mkubwa
 
Mbona km wanabug? Ponda huyu huyu ndio anawaombea kura Chadema? Mbona background yake sio nzuri?

Ok waislam wametakiwa wampigie Lissu, sio udini huu?
Vp kuhusu wakristo, wapagani na dini zingine wampigie nani?

Tukiendelea kuomba kura kwa mfumo huu tutafika kweli km taifa?
Chadema wamekosea Sana kuruhusu hili. Litawapunguzia kura nyingi sana
 
Ponda unakosea sana kumuombea kura Lisu kwenye jukwaa kwa misingi ya kidini/kibaguzi ."eti sisi waislam........" hiyo ni kauli ya kibaguzi yenye lengo la kuigawa nchi yetu......
wapiga kura tupo mchanganyiko, wakristo kwa waislam na dini zingine, sote tutapiga kura na tutamchagua mgombea kwa uzuri wa sera za chama chake na kamwe hatuwezi kupiga kura kwa misingi ya kidini.
mimi ni mkristu lkn naona masheki mnatumika vibaya sana na mnakubali kutumiwa bila hata kutafakari athari zinazo weza kutokea.
 
huu "uzi" /mjadala naomba ufungwe mara moja maana unaleta uchochezi wa kidini
 
Kweli
wewe kweli ni mse.ge
 
huyo mzee msengerema sana hawezi kusema eti amekubaliana waislam wote utafikir sisi ni wake zake pimbi huyo...
 
Hbr sio ya kwel misimamo ya ponda haiwezi shabikia mambo ya kisiasa ponda ana misimamo migumu mnoo ndio maana ata serikali hua inamfatilia, ponda misimamo yake ya kidini hua anaamini demokrasia ni ukafiri so abadani hawezi piga kula na wala hatopiga kula naandika kwa reference ninamjua huyu mzee vzr sn hawezi narudia hawezi.
 
Hii kuchanganya mambo ndio ninapouona ujinga wa upinzani, yaani mtafanya chochote alimradi kwenu ni hayo madaraka tu.

Yaani hata kama Mtu umeichoka ccm lakini Upinzani wamekosa kabisa Watu wenye hekima wa kuchuka nafasi, Lisu ni Mwanaharakati si Mwanasisasa.
 
Hizo porojo tutaendelea kuzipuuza kama Trump alivyopuuza wakati ule mnamnadi mama Trump, Huyo Mayalla uliyempelekea nakala anajua kila kitu, tegemeo lake limebaki kwa Mahera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…