Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

CCM washashindwa vibaya mno...sasa wajaribu kuiba kura waone.....

Jiwe alijisahau mno...Mungu kashamuadhibu....hana chake!!
 
Ni kwasababu mgombea anasema atawatoa mashekhe wa uamsho korokoroni
 
Huyu ndio alitakiwa kuwa Mufti mkuu wa Tanzania siyo yule kibaraka wa ccm
 

..hoja yako ingekuwa na nguvu kama Tundu Lissu angekuwa ni Muislamu halafu akapigiwa kampeni na Shekhe Ponda.

..Tundu Lissu ni Mkristo dhehebu la Wakatoliki, na hakuna kiongozi yeyote wa dhehebu hilo aliyempigia kampeni, wala kuambatana naye majukwaani.

..Na Tundu Lissu kuambatana na viongozi wa dini za Kiislamu na Kikristo maana yake ni kwamba anawaunganisha Watanzania wa madhehebu yote, na hana ubaguzi wa kidini.
 
Kuna madhara yoyote?

Hakuna madhara yeyote, ndio kilichonishangaza mimi. Tanzania tunaambiwa hakuna corona, kwa hiyo hakujifunika kwa sababu ya corona. Kwa hoyo anaficha uso ili asijulikane tu, na hilo ndilo suali langu kwa nini hataki ajulikane? Je ni secret service au anajitafunia pesa pande zote CCM na Chadema na hataki wamjue?
 
Kwa Comment hii na mawazo haya, swala la uislaam kuhusishwa na ugaidi litaendelea kuwepo mpaka kiama.
 
Kwa Comment hii na mawazo haya, swala la uislaam kuhusishwa na ugaidi litaendelea kuwepo mpaka kiama.

..zamani magaidi walikuwa wanahusishwa na itikadi za ujamaa na ukomunisti.

..suala la uislamu kuhusishwa na ugaidi nalo linaweza kuwa la kupita.
 
Sheikh Ponda Issa Ponda ni mwanaharakati mzuri sana mwenye kutetea haki kwa kila raia wa nchi hii. Sheikh Ponda ni taasisi. Kila Muislamu na mpenda haki wa nchi hii atampigia kura Tundu Lissu hapo mnamo tarehe 28 October.
 
Waislamu wapenda haki ktk nchi hii tupo pamoja na Tundu Lissu. Hayo mambo mengine ni akili yako kufikiria hivyo.
 
"Tulitamani kuwa na Kiongozi kama Dr.Magufuli,Tumempata, tunaendelea nae.
KURA YANGU KWA MAGUFULI "

#TulipotokaTunapokwenda
#MagufuliNiMafanikio
#Magufuli5Tena
#ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli #ChaguaMagufuli
Endelea utekwaji Tena miaka 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…