Kisiasa, Kuna tofauti Gani kati ya "HAYATI" na "MWENDAZAKE"?

Kisiasa, Kuna tofauti Gani kati ya "HAYATI" na "MWENDAZAKE"?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI".

Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE Ili kupingana na msemo wa Mzee mmoja aliyetamka hadharani kuwa. "WAZURI HAWAFI".

Karibuni🙏
 
Achana na habari ya hayati au mwendazake; huu ni mwaka wa mavuno.
 
kote ni kukata punzi tu, hata mpiga debe nae ni mwendazake na hayati.
 
Ukitaja Mwendazake wengi wanadhani unamtaja jembe jiwe ila yote ya maana moja ila hayati ni kwa wafu mashuhuri wakati mwendazake hata wafu kapuku wanaweza itwa hivyo
Kwamba hata watu kapuku wanaweza itwa MWENDAZAKE, maarufu wote ni HAYATI!!!

Ama kweli,

WAZURI HAWAFI, na kaburini hakuwekwi AC- Mwana FA!!
 
Sio maarufu wote bali wale mashuhuri ndio wamejipendelea jina hilo mfano Rais,makamu,waziri mkuu,malkia,king etc
Kwamba hata watu kapuku wanaweza itwa MWENDAZAKE, maarufu wote ni HAYATI!!!

Ama kweli,

WAZURI HAWAFI, na kaburini hakuwekwi AC- Mwana FA!!
 
Salaam, Shalom!!

Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE" , kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI".

Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE Ili kupingana na msemo wa Mzee mmoja aliyetamka hadharani kuwa. "WAZURI HAWAFI".

Karibuni🙏
Mwenda zake hawaku mpenda na hakua sehem ya kundi lao.
Hayati walimpenda na alikua sehem ya kundi lao.
 
Wote tunajua Kiswahili Cha Kenya ni kibovu,

Kwanini ktk msiba wa Magu, waswahili tena wa Pwani kuamua kutumia MWENDAZAKE kureplace HAYATI?

Bado tutaona Mengi!!
Hao ni wahuni wahuni walio achwa na awamu ya tano
 
Mwenda zake hawaku mpenda na hakua sehem ya kundi lao.
Hayati walimpenda na alikua sehem ya kundi lao.
Kwamba hata miili ya marehemu inabaguliwa!!

WAZURI na wabaya wote wanakufa.
 
Back
Top Bottom