- Thread starter
- #21
Kumbe Magu hakufikia hiyo class?Marehemu wa class fulani ndio wanaitwaga Hayati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Magu hakufikia hiyo class?Marehemu wa class fulani ndio wanaitwaga Hayati
ongezea na neno marehemu.Salaam, Shalom!!
Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI".
Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE Ili kupingana na msemo wa Mzee mmoja aliyetamka hadharani kuwa. "WAZURI HAWAFI".
Karibuni🙏
Marehemu ni normal people, Si viongozi wakubwa wenye title zao!!ongezea na neno marehemu.
Wao wanasema "wazuri hawafi"Kwamba hata miili ya marehemu inabaguliwa!!
WAZURI na wabaya wote wanakufa.
Shujaa Magufuli ni HayatiKumbe Magu hakufikia hiyo class?
Ngoja tuone ikiwa Kweli, Wazuri HAWAFI.Mwendazake hutumiwa na mtu ambaye humbeza marehemu kwa kujutia mabaya yake,na hayati hutumiwa na mtu mwenye kumsifia kwa mema mengi aliyotenda akiwa hai enzi za uongozi wake.
Yote kwa yote hakuna mkamilifu (wao hawakuwa malaika wala Mungu) na wote ni marehemu kuitwa mwendazake au Hayati haipindui ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli.
Sa100 alimwita MWENDAZAKE!!!Shujaa Magufuli ni Hayati
Aimuita lini na wapi? Weka videoSa100 alimwita MWENDAZAKE!!!
Jitoe ufahamuAimuita lini na wapi? Weka video
Kweli serious sijawahi kumsikia Samia akimuita Magufuli mwendazake...Jitoe ufahamu