HAKIKA nami nalijua Hilo🙏Achana na habari ya hayati au mwendazake; huu ni mwaka wa mavuno.
Kumbe mangi🙄Hayati ndio Huyo Huyo Mwendazake
Sio kweli, Marehemu ndio Mwendazake msiba ukimalizika ndio unaitwa Hayati.Hayati ndio Huyo Huyo Mwendazake
Kwamba hata watu kapuku wanaweza itwa MWENDAZAKE, maarufu wote ni HAYATI!!!Ukitaja Mwendazake wengi wanadhani unamtaja jembe jiwe ila yote ya maana moja ila hayati ni kwa wafu mashuhuri wakati mwendazake hata wafu kapuku wanaweza itwa hivyo
Kwamba hata watu kapuku wanaweza itwa MWENDAZAKE, maarufu wote ni HAYATI!!!
Ama kweli,
WAZURI HAWAFI, na kaburini hakuwekwi AC- Mwana FA!!
Siyo kila marehemu ni hayati 🐼Sio kweli, Marehemu ndio Mwendazake msiba ukimalizika ndio unaitwa Hayati.
Siku unayoondoka Duniani Unaendazako.
Wote tunajua Kiswahili Cha Kenya ni kibovu,Mwendazake tumeliazima Kenya, na halina maana mbaya ni sawa sawa na hayati. Kwa Kiswahili cha Kenya wao hutumia zaidi mwendazake badala ya hayati
View: https://www.youtube.com/watch?v=SWQ2KADQ_uU
View: https://www.youtube.com/watch?v=-spNczAFrjU
Na sio Kila HAYATI ni Marehemu😏!!!Siyo kila marehemu ni hayati 🐼
Mwenda zake hawaku mpenda na hakua sehem ya kundi lao.Salaam, Shalom!!
Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE" , kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu marehemu Lowwassa ni "HAYATI".
Wajuvi wa mambo haya watujuze tofauti ya majina haya HAYATI na MWENDAZAKE Ili kupingana na msemo wa Mzee mmoja aliyetamka hadharani kuwa. "WAZURI HAWAFI".
Karibuni🙏
Hao ni wahuni wahuni walio achwa na awamu ya tanoWote tunajua Kiswahili Cha Kenya ni kibovu,
Kwanini ktk msiba wa Magu, waswahili tena wa Pwani kuamua kutumia MWENDAZAKE kureplace HAYATI?
Bado tutaona Mengi!!
Ila kila Maiti ni Marehemu na kila Marehemu hatimae anakua Hayati.Siyo kila marehemu ni hayati 🐼
Marehemu wa class fulani ndio wanaitwaga HayatiIla kila Maiti ni Marehemu na kila Marehemu hatimae anakua Hayati.
Kwamba hata miili ya marehemu inabaguliwa!!Mwenda zake hawaku mpenda na hakua sehem ya kundi lao.
Hayati walimpenda na alikua sehem ya kundi lao.