GE2025 Kisicho RIZIKI hakiliki, Taratibu zifuatwe kupata Mgombea Urais CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kuna justification gani ya kutumia dokezo kumpitisha mgombea wakati miongozo ipo wazi?

Yeyote anaye pinga ule uhaini wa dokezo ni mzalendo and genuine soul bila ya kujali past behavior.

The smartest people had seen that coming… Job, Mpango, Diwani, Gwajima, Mpina, and now… Polepole – na wapo wengi bado!

Kwa sasa nchi inaendeshwa kama private entity fulani ivi – wapi kuna profit, tunaswitch huko… Hiyo siyo nchi. It’s a joke for the future generation – tuache mizaha!

Kina Polepole, Gwajima, Mpina wameamua kuwa genuine… Hawa watu naamini wanampenda Samia kwa dhati kabisa kuliko wanaopiga makofi.

Tuliwahi kumwambia JPM, Tundu sio adui yako… He is a genuine soul. Adui wa kweli huwezi kumjua so openly… JPM came to realize the truth in his deathbed… alikuwa akiishi na adui just right to his nose unknowingly. Hiyo ndiyo definition ya enemy, and JPM had a bread of shame in his last breath!

When solution is simple, God is answering… Mchakato wa Dodoma urudiwe na Samia aingie kwenye panel.

Kama ni yeye, basi ni yeye tu… Hakuna wa kutengua. Ila taratibu zifuatwe kama ilivyo kwa watangulizi wake. . Huo ni uhaini, kwa sababu miongozo ipo very clear – let’s adhere.

It was JPM – pamoja na purukushani zote, but alitoboa. Ni nini shida kwa Samia?

Je, yupo kweli kwa ajili ya maslahi ya nchi, au kwa entity fulani ambapo ndani yake kuna boss mwingine who leads behind the curtain? Kama yupo kwa ajili ya maslahi ya nchi, basi afuate miongozo na process. Asituharibie nchi kwa maslahi ya entity fulani!

Kama ni yeye, basi itakuwa ni yeye no matter what!

Hatujawahi kuwa na Rais ambaye term yake ya kwanza hajapitishwa kwenye chujio la wajumbe… That is a joke – absolutely a funny thing!

Kinyume na mchakato, ataendelea kuwa mgombea batili. However, the mambo ya machawa… Aidha, ifahamike: kisicho riziki, hakiliki kwa namna yoyote ile. Sisi wenye imani ya Budha, tunaelewa hilo.

Dr. M.N.M
Canada
 
kuna Justification gani ya kutumia DOKEZO kumpitisha mgombea wakati MIONGOZO ipo wazi?

Yeyote anaepinga ule UHAINI wa dokezo ni MZALENDO and genuine soul bila ya kujali past behavior.

The Smartest people had seen that coming …. JOB, MPANGO, DIWANI , GWAJIMA, MPINA AND NOW …. POLEPOLE na WAPO WENGI BADO!

Kwa sasa nchi inaendeshwa kama Private Entity Fulani ivi, wapi kuna profit … tunaswitch huko………. Hiyo siyo nchi…. Its a joke for the future generation, tuache mizaha !

Kina Polepole, Gwajima, Mpina wameamua kuwa GENUINE…. hawa watu naamini wanampenda Samia kwa dhati kabisa kuliko wanaopiga makofi

Tuliwahi kumwambia JPM , Tundu sio adui yako…. He is a genuine soul. Adui wa kweli huwezi kumjua so openly……. JPM came to realize the truth in his deathbed….alikuwa akiishi na adui just right to his nose unknowingly, hiyo ndio definition ya ENEMY and JPM had a bread of shame in his last breathe!

When solution is simple , God is ànswering…. MCHAKATO wa dodoma URUDIWE na Samia Aingie kwenye panel.

Kama ni yeye basi ni yeye tu ….. hakuna wa kutengua…..ILA taratibu zifuatwe kama ilivyo kwa watangulizi wake. <Mambo ya tufanye hivi ili tusionekane tumekiuka >. Huo ni UHAINI ….kwa sababu MIONGOZO IPO very CLEAR …lets adhere

it was JPM, pamoja purukushani zote but alitoboa , ni nini shida kwa Samia ?

Je yupo kweli kwa ajili ya MASLAHI ya nchi au kwa -entity fulani ambapo ndani yake kuna boss mwingine who leads behind the curtaîn? Kama yupo kwa ajili ya Maslahi ya nchi….basi afuatishe miongozo na process…. asituharibie nchi kwa maslahi ya entity fulani!

kama ni yeye basi itakuwa ni yeye no matter what !

hatujawahi kuwa na Rais ambae term yake ya kwanza hajapitishwa kwenye CHUJIO la wajumbe…. that is a joke, absolute a funny thing

Kinyume na Mchakato, ataendelea kuwa Mgombea BATILI however the mambo ya machawa, aidha, ifahamike Kisicho RIZIKI hakiliki kwa namna yoyote ile, sisi wenye imani ya BUDHA….. tunaelewa hilo

Dr M.N.M
Canada
Eti dokta, we utakuwa dokta wa mitishamba, kaharishe huo uvundo kichwani. Pilipili usisozila za kuwashia nini. Ngedere pori wewe
 
Mifumo ya nchi ina matundu kwa kiwango cha kuruhusu mgombea batili aongoze nchi? Kama jibu ni ndio hakuna wala haja ya kulijadili.
Mchakato (process) ukiwa batili hata matokeo (output) yake huwa batili pia, pasipo kujali mfumo (system) uliopo

kwa kuwa "system" yoyote ile ndiyo hupelekea kukamulika kwa mchakato wowote, yaani

➡️INPUT➡️THROUGH PUT➡️ OUTPUT
 
I think Samia anatumiwa tu na baadhi ya watu ambao JPM alikuwa anawapinga, kwa kweli huyu Mama alishashindwa kuliongoza hili taifa ila basi tu.
 
Mchakato (process) ukiwa batili hata matokeo (output) yake huwa batili pia, pasipo kujali mfumo (system) uliopo

kwa kuwa "system" yoyote ile ndiyo hupelekea kukamulika kwa mchakato wowote, yaani

➡️INPUT➡️THROUGH PUT➡️ OUTPUT
Input output mchakato ni kupitia mifumo.
 
kuna Justification gani ya kutumia DOKEZO kumpitisha mgombea wakati MIONGOZO ipo wazi?

Yeyote anaepinga ule UHAINI wa dokezo ni MZALENDO and genuine soul bila ya kujali past behavior.

The Smartest people had seen that coming …. JOB, MPANGO, DIWANI , GWAJIMA, MPINA AND NOW …. POLEPOLE na WAPO WENGI BADO!

Kwa sasa nchi inaendeshwa kama Private Entity Fulani ivi, wapi kuna profit … tunaswitch huko………. Hiyo siyo nchi…. Its a joke for the future generation, tuache mizaha !

Kina Polepole, Gwajima, Mpina wameamua kuwa GENUINE…. hawa watu naamini wanampenda Samia kwa dhati kabisa kuliko wanaopiga makofi

Tuliwahi kumwambia JPM , Tundu sio adui yako…. He is a genuine soul. Adui wa kweli huwezi kumjua so openly……. JPM came to realize the truth in his deathbed….alikuwa akiishi na adui just right to his nose unknowingly, hiyo ndio definition ya ENEMY and JPM had a bread of shame in his last breathe!

When solution is simple , God is ànswering…. MCHAKATO wa dodoma URUDIWE na Samia Aingie kwenye panel.

Kama ni yeye basi ni yeye tu ….. hakuna wa kutengua…..ILA taratibu zifuatwe kama ilivyo kwa watangulizi wake. <Mambo ya tufanye hivi ili tusionekane tumekiuka >. Huo ni UHAINI ….kwa sababu MIONGOZO IPO very CLEAR …lets adhere

it was JPM, pamoja purukushani zote but alitoboa , ni nini shida kwa Samia ?

Je yupo kweli kwa ajili ya MASLAHI ya nchi au kwa -entity fulani ambapo ndani yake kuna boss mwingine who leads behind the curtaîn? Kama yupo kwa ajili ya Maslahi ya nchi….basi afuatishe miongozo na process…. asituharibie nchi kwa maslahi ya entity fulani!

kama ni yeye basi itakuwa ni yeye no matter what !

hatujawahi kuwa na Rais ambae term yake ya kwanza hajapitishwa kwenye CHUJIO la wajumbe…. that is a joke, absolute a funny thing

Kinyume na Mchakato, ataendelea kuwa Mgombea BATILI however the mambo ya machawa, aidha, ifahamike Kisicho RIZIKI hakiliki kwa namna yoyote ile, sisi wenye imani ya BUDHA….. tunaelewa hilo

Dr M.N.M
Canada
Tunamshauri Rais
Kwa kuwa amefanya mambo mengi,na wengi husema kwamba nani kama mama?
Hakuna

Na kazi zake zinamtetea,na ana imani ya kushinda kwa asilimia nyingi.

Tunaomba afuate miongozo
Ili achujwe kihalali?
Anahofia nini?
Mbona kazi zake zinambeba?
Aingie kwenye mtanange kama wanavyochujwa sasa madiwani wake na wabunge.
 
Acheni unafiki, kazi gani zinambeba? taja miradi miwili mikubwa aliyoanzisha yeye kama yeye tofauti na mradi mkubwa wa chawa
 
Wanasema eti kaja na mradi wa usafirishaji (baiskeli za mama), na mradi wa mauaji, ufiraji wa wageni, utekaji, ufujaji wa mali za umma, wizi na ubinafsishaji wa mali za watanganyika.
 
Back
Top Bottom