Kuna justification gani ya kutumia dokezo kumpitisha mgombea wakati miongozo ipo wazi?
Yeyote anaye pinga ule uhaini wa dokezo ni mzalendo and genuine soul bila ya kujali past behavior.
The smartest people had seen that coming… Job, Mpango, Diwani, Gwajima, Mpina, and now… Polepole – na wapo wengi bado!
Kwa sasa nchi inaendeshwa kama private entity fulani ivi – wapi kuna profit, tunaswitch huko… Hiyo siyo nchi. It’s a joke for the future generation – tuache mizaha!
Kina Polepole, Gwajima, Mpina wameamua kuwa genuine… Hawa watu naamini wanampenda Samia kwa dhati kabisa kuliko wanaopiga makofi.
Tuliwahi kumwambia JPM, Tundu sio adui yako… He is a genuine soul. Adui wa kweli huwezi kumjua so openly… JPM came to realize the truth in his deathbed… alikuwa akiishi na adui just right to his nose unknowingly. Hiyo ndiyo definition ya enemy, and JPM had a bread of shame in his last breath!
When solution is simple, God is answering… Mchakato wa Dodoma urudiwe na Samia aingie kwenye panel.
Kama ni yeye, basi ni yeye tu… Hakuna wa kutengua. Ila taratibu zifuatwe kama ilivyo kwa watangulizi wake. . Huo ni uhaini, kwa sababu miongozo ipo very clear – let’s adhere.
It was JPM – pamoja na purukushani zote, but alitoboa. Ni nini shida kwa Samia?
Je, yupo kweli kwa ajili ya maslahi ya nchi, au kwa entity fulani ambapo ndani yake kuna boss mwingine who leads behind the curtain? Kama yupo kwa ajili ya maslahi ya nchi, basi afuate miongozo na process. Asituharibie nchi kwa maslahi ya entity fulani!
Kama ni yeye, basi itakuwa ni yeye no matter what!
Hatujawahi kuwa na Rais ambaye term yake ya kwanza hajapitishwa kwenye chujio la wajumbe… That is a joke – absolutely a funny thing!
Kinyume na mchakato, ataendelea kuwa mgombea batili. However, the mambo ya machawa… Aidha, ifahamike: kisicho riziki, hakiliki kwa namna yoyote ile. Sisi wenye imani ya Budha, tunaelewa hilo.
Dr. M.N.M
Canada