GE2025 Kisicho RIZIKI hakiliki, Taratibu zifuatwe kupata Mgombea Urais CCM

GE2025 Kisicho RIZIKI hakiliki, Taratibu zifuatwe kupata Mgombea Urais CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
I think Samia anatumiwa tu na baadhi ya watu ambao JPM alikuwa anawapinga, kwa kweli huyu Mama alishashindwa kuliongoza hili taifa ila basi tu.
Hata wanaompigania wanajua hamna mtu mule ; but yule ndio mlango wa kupitisha Uharamia mwîngi

Ever seen in your life RAIS Anasimama na kusema na mimi nina boss wangu !

Mule hamna mtu ……: shida kubwa nchi ilijengwa kwa misingi ya uoga wa hali ya juu. But Samia alipaswa kupigwa chini at
The first opportunity bila hata ya kupepesa macho.
Nchi haiwezi kuwà na maboss wawili…. That is a joke
 
Hiyo mama aache uharamia, afuate taaratibu! Hatutaki wagombea haram!
Akifuata utaratibu akatoboa 5 bora akaja akatoboa 3 bora

Sasa baada ya hapo atakaesimama na kumnanga, juu ya hafai au anafaa atakuwa na chuki binafsi

Hana uhalali and she is very weak to be a President, I dont Know what went wrong and sijui hata tulimtoa wapi huyo mtu hadi akafika huko
Juuu

Huuu muungano ipo siku utatotoa roho

Kuongozwa na mtu ambae unaona kabisa upstairs hamna kitu hurts a lot
 
Inaumiza mno!!
 
Hamna alichofanya . Hata yeye anashangaa

Tatizo la UVCcm Ni moja…. Wanaanz kwanza kutafuta position za kisiasa then wakishapata ndio wanaenda kusoma evening classes ndio maàna ni lower thinkers

Hawana regular education
Sahihi ni genge la matapeli tupu
 
Huwa naumia sana nikikuta kijana mdogo asie hata na pa kulala siku akitoka hostel nae ati anasema Mitano tena na October anatiki...
Najiuliza how, kijana huyu anajiona kesho akiwa wapi?
Samia hafai kua hata mwenyekiti wa kijiji, ni mweupe sana.
 
Tatizo kubwa ni kukosekana wa kumfunga paka kengele hadi sasa, yaani JK
 
We mpumbavu CCM inakuhusu nini, zungumzia hbr za nyumbu wenzio, hujawahi kuwa na akili, kibwengo tu unatuandika matope humu. Chombo cha juu kabisa mkutano mkuu ndio umeamua kwa kupiga kura 99.8%, we takatataka ni nani. We kuonesha ni zombe huo utambulisho una kazi gani, kuwa Canada na una PhD inasaidia nini. Ktk dunia ya utandawazi unataka tukujue uko nchi gani? Mshamba mpumbavu wewe
Ikiwa alipitishwa na huo mkutano mkuu Kwa kufuata utaratibu, hiyo minongono ya Nini? ukiona unapatwa na hasira Kwa jambo hili mpaka unamtusi mtu basi Kuna kitu haliko sawa hata nafdi Yako inajua
 
Ila mama bana. Miaka minne alipata kama urithi. Hii mitano tena anazitaka bila kushindana wala kuchukua fomu.
Dah! Anadeka! Nani kama mama.
 
Akifuata utaratibu akatoboa 5 bora akaja akatoboa 3 bora

Sasa baada ya hapo atakaesimama na kumnanga, juu ya hafai au anafaa atakuwa na chuki binafsi

Hana uhalali and she is very weak to be a President, I dont Know what went wrong and sijui hata tulimtoa wapi huyo mtu hadi akafika huko
Juuu

Huuu muungano ipo siku utatotoa roho

Kuongozwa na mtu ambae unaona kabisa upstairs hamna kitu hurts a lot
Msoga ndo alifanya mazingaombwe yake ili badae akipindua meza awe remote controlled queen
 
Mtu anapindisha utaratibu hamna mtu mwenye kukemea hadharani, nchi haina wazee wa kukemea mambo yanapoenda mlama
 
Hana uhalali and she is very weak to be a President, I dont Know what went wrong and sijui hata tulimtoa wapi huyo mtu hadi akafika huko
Juuu
Ila watu😄😆😂😂🙌
Watanzania hapana
Wana nongwa sana
 
Mtu anapindisha utaratibu hamna mtu mwenye kukemea hadharani, nchi haina wazee wa kukemea mambo yanapoenda mlama
Tangu alipokufa MKAPA, wazee wenye kusimamiq misingi wakaisha

Mkapa angekuwepo, trust me huu upumbavu unaoendelea CCM wa mtu na mpenzie kupeana nchi kisirisiri usingekuwepo

Sasa wamebaki wahuni maamuzi yanayolewa chumbani, mmojq qnamwambia mwenzie usijali nitalisimia hili
Mtu anapindisha utaratibu hamna mtu mwenye kukemea hadharani, nchi haina wazee wa kukemea mambo yanapoenda mlama
 
Ila mama bana. Miaka minne alipata kama urithi. Hii mitano tena anazitaka bila kushindana wala kuchukua fomu.
Dah! Anadeka! Nani kama mama.
Mambo ya kudeka kwenye nchi sio mahali pale

After all alisema urais mgumu….. sasa inqkuqje tena mpakq anavunja utaratibu ili abaki madarakqni
 
Back
Top Bottom