GE2025 Kisicho RIZIKI hakiliki, Taratibu zifuatwe kupata Mgombea Urais CCM

GE2025 Kisicho RIZIKI hakiliki, Taratibu zifuatwe kupata Mgombea Urais CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tangu alipokufa MKAPA, wazee wenye kusimamiq misingi wakaisha

Mkapa angekuwepo, trust me huu upumbavu unaoendelea CCM wa mtu na mpenzie kupeana nchi kisirisiri usingekuwepo

Sasa wamebaki wahuni maamuzi yanayolewa chumbani, mmojq qnamwambia mwenzie usijali nitalisimia hili
Kabisa mkuu.

Wanaogopana mambo ya ajabu yanafanyika lakini wapo kimya
 
Kuna justification gani ya kutumia dokezo kumpitisha mgombea wakati miongozo ipo wazi?

Yeyote anaye pinga ule uhaini wa dokezo ni mzalendo and genuine soul bila ya kujali past behavior.

The smartest people had seen that coming… Job, Mpango, Diwani, Gwajima, Mpina, and now… Polepole – na wapo wengi bado!

Kwa sasa nchi inaendeshwa kama private entity fulani ivi – wapi kuna profit, tunaswitch huko… Hiyo siyo nchi. It’s a joke for the future generation – tuache mizaha!

Kina Polepole, Gwajima, Mpina wameamua kuwa genuine… Hawa watu naamini wanampenda Samia kwa dhati kabisa kuliko wanaopiga makofi.

Tuliwahi kumwambia JPM, Tundu sio adui yako… He is a genuine soul. Adui wa kweli huwezi kumjua so openly… JPM came to realize the truth in his deathbed… alikuwa akiishi na adui just right to his nose unknowingly. Hiyo ndiyo definition ya enemy, and JPM had a bread of shame in his last breath!

When solution is simple, God is answering… Mchakato wa Dodoma urudiwe na Samia aingie kwenye panel.

Kama ni yeye, basi ni yeye tu… Hakuna wa kutengua. Ila taratibu zifuatwe kama ilivyo kwa watangulizi wake. . Huo ni uhaini, kwa sababu miongozo ipo very clear – let’s adhere.

It was JPM – pamoja na purukushani zote, but alitoboa. Ni nini shida kwa Samia?

Je, yupo kweli kwa ajili ya maslahi ya nchi, au kwa entity fulani ambapo ndani yake kuna boss mwingine who leads behind the curtain? Kama yupo kwa ajili ya maslahi ya nchi, basi afuate miongozo na process. Asituharibie nchi kwa maslahi ya entity fulani!

Kama ni yeye, basi itakuwa ni yeye no matter what!

Hatujawahi kuwa na Rais ambaye term yake ya kwanza hajapitishwa kwenye chujio la wajumbe… That is a joke – absolutely a funny thing!

Kinyume na mchakato, ataendelea kuwa mgombea batili. However, the mambo ya machawa… Aidha, ifahamike: kisicho riziki, hakiliki kwa namna yoyote ile. Sisi wenye imani ya Budha, tunaelewa hilo.

Dr. M.N.M
Canada
Sasa yale mapikipiki na mabaiskeli itakuwaje? Nimeamini ile methali isemayo kizuri kinajiuza, kibaya kinajitembeza... Madame prezdaa hawezi kukubali kupitia chujio. Anajua kabisa hatapita. Na amejiandaa kwa muda mrefu. Kuanzia kalamu ya mama, gas ya mama, daftari la mama, ped za mama, nk nk nk. Halafu aiweke hii fusra kwenye chujio!! Hili haliwezi kutokea.
 
Namna mchakato wa kumpata mgombea urais ulivyonajisiwa tena hadharani inakupa picha ya namna uongozi wa nchi unavyofanya maamzi kwenye mambo nyeti hasa mikataba huko sirini..Yaani ni uvundo and hakuna anaejali
 
Namna mchakato wa kumpata mgombea urais ulivyonajisiwa tena hadharani inakupa picha ya namna uongozi wa nchi unavyofanya maamzi kwenye mambo nyeti hasa mikataba huko sirini..Yaani ni uvundo and hakuna anaejali
Tumfuatilie pole pole Youtube na Mzee Ulimwengu. Wanatoa elimu ambavyo CCM inatoa mgombea atakaekosa uhalali

Kumbe walikuwa wanawawahi watu wamaotaka kupindua MEZA. Kwa sasa CCM kipo chini ya wahuni
 
Hata wanaompigania wanajua hamna mtu mule ; but yule ndio mlango wa kupitisha Uharamia mwîngi

Ever seen in your life RAIS Anasimama na kusema na mimi nina boss wangu !

Mule hamna mtu ……: shida kubwa nchi ilijengwa kwa misingi ya uoga wa hali ya juu. But Samia alipaswa kupigwa chini at
The first opportunity bila hata ya kupepesa macho.
Nchi haiwezi kuwà na maboss wawili…. That is a joke
You are very right
 
Back
Top Bottom