GE2025 Kisicho RIZIKI hakiliki, Taratibu zifuatwe kupata Mgombea Urais CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
G200+ mko moto sana!
 
Dah kwa mapovu haya? Sijui kama umesoma hata alichoandika nakuonea huruma sana .
 
Matusi ni silaha ya mpumbavu
 
Unasumbuliwa na ujinga, hujaelewa bado

Umekimbilia kujibu
 
Kama kaz zake zinajieleza, aingie kwenye chujio na wajumbe wengine

Otherwise ataendelea kuwa batil. Na huo ujanja ujanja utampatia riziki ambayo hatoweza kuila
 
Hii nchi ina vituko sana ukitaka kazi lazima upite kwenye Intavyuu ukitaka kupata tender za serikali lazima Kuna kitu kinaitwa Evaluation lakini nashangaa sana nafasi nyeti ya maamuzi ya nchi watu wanataka kupita kimseleleko Afrika ina laana
 
Sisi wenye Imani ya Buddha tunaelewa Hilo.
uddha
 
Eti dokta, we utakuwa dokta wa mitishamba, kaharishe huo uvundo kichwani. Pilipili usisozila za kuwashia nini. Ngedere pori wewe
Sisi tuliokaa darasani na tunaendelea kukaa darasani kwa kutambua umuhimu wa elimu…. Tunapambània future ya FAMILIA yako. Wewe pambania siku yako ili ujaze tumbo

Utakuwa na justification ya kuandika vovote kwa tunaompinga Samia endapo tu SAMIA atapita kwenye CHUJIO.

Hatukumpenda JPM aidha but hatukuwa na mengi snaa kwa sababu JPM had what if takes to be a leader. Alipambàna kuanzia 5 bora akaja kupambàna 3 bora, unamnangaje mtu kama huyo ?

Samia anapitishwa kwa DOKEZO huku akigoma hata kupisha wajumbe…nadhan hii ni kwa mara ya kwanza in our country history kuwa na kituko kama icho. Ila all in all ….: niliwahi kusema JPM anauzalendo wa kweli lakini kwa vitimbi vya kutafuna binadam wenzie …. Nilisema simuoni akifika mbali….. hivo hivo nasema kwa kuvunja miiko iliyorithiwa tangu enzi za muasisi…..
Simuoni akifika kokote….. kisichoriziki hakitolika
 
Acheni unafiki, kazi gani zinambeba? taja miradi miwili mikubwa aliyoanzisha yeye kama yeye tofauti na mradi mkubwa wa chawa
Hamna alichofanya . Hata yeye anashangaa

Tatizo la UVCcm Ni moja…. Wanaanz kwanza kutafuta position za kisiasa then wakishapata ndio wanaenda kusoma evening classes ndio maàna ni lower thinkers

Hawana regular education
 
Wanasema eti kaja na mradi wa usafirishaji (baiskeli za mama), na mradi wa mauaji, ufiraji wa wageni, utekaji, ufujaji wa mali za umma, wizi na ubinafsishaji wa mali za watanganyika.
🤣🤣🤣
 
"Kisichoriziki hakiliki"
"Taratibu zipo,dokezo la nini"?
 
Hii nchi ina vituko sana ukitaka kazi lazima upite kwenye Intavyuu ukitaka kupata tender za serikali lazima Kuna kitu kinaitwa Evaluation lakini nashangaa sana nafasi nyeti ya maamuzi ya nchi watu wanataka kupita kimseleleko Afrika ina laana
Kuna watu 2 kwa sasa ndio destroyer wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…