GE2025 Kisicho RIZIKI hakiliki, Taratibu zifuatwe kupata Mgombea Urais CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kabisa mkuu.

Wanaogopana mambo ya ajabu yanafanyika lakini wapo kimya
 
Sasa yale mapikipiki na mabaiskeli itakuwaje? Nimeamini ile methali isemayo kizuri kinajiuza, kibaya kinajitembeza... Madame prezdaa hawezi kukubali kupitia chujio. Anajua kabisa hatapita. Na amejiandaa kwa muda mrefu. Kuanzia kalamu ya mama, gas ya mama, daftari la mama, ped za mama, nk nk nk. Halafu aiweke hii fusra kwenye chujio!! Hili haliwezi kutokea.
 
Namna mchakato wa kumpata mgombea urais ulivyonajisiwa tena hadharani inakupa picha ya namna uongozi wa nchi unavyofanya maamzi kwenye mambo nyeti hasa mikataba huko sirini..Yaani ni uvundo and hakuna anaejali
 
Tumfuatilie pole pole Youtube na Mzee Ulimwengu. Wanatoa elimu ambavyo CCM inatoa mgombea atakaekosa uhalali

Kumbe walikuwa wanawawahi watu wamaotaka kupindua MEZA. Kwa sasa CCM kipo chini ya wahuni
 
You are very right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…