Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Aisee! Mlogolo yetu.
Nalog off
Nalog off
Ghanja!Mpeni Afande Sele.
Kazi ya mbunge siyo kujenga viwanda.Jana Magufuli amemponda sana Mbunge Aziz Abood kwa kuua viwanda lakini kuna kauli haijaeleweka na wadau wa Morogoro wamekuwa kimya kuhusu baadhi ya kauli. Ninalazimika kuandika kuhusu kauli hizo na sababu ya CCM kumsimamisha kama mbunge huku wakijua ameua viwanda
Abood amesimamishwa kwa mara nyingine kama mbunge kwa kuwa tangu zamani amekuwa akitoa magari yake bure kusaidia shughuli za msiba za raia yeyote ndani ya manispaa, Hivyo wadau wanasema Abood anazika watu kwa maana hiyo. Hili jambo pia amesifiwa na Magufuli wakati anazindua Soko la Kingaru Morogoro Mjini.
Morogoro imechukuliwa na Mbunge Abood baada ya Dr. Mzeru kushindwa kufanya kitu, tangu wakati huo viwanda tayari vilikuwa vimeshakufa. Lakini kifupi ni kuwa raia wanamkubali mtu wao kwa sababu hiyo ya kuwazika hivyo hata kwa CCM inakuwa ngumu kumleta mwingine, wakati watu wanamjua Abood
Halafu kama mnavyojua jinsi raia walivyo rahisi kudanganyika, Kuzikwa kuwa wazi zaidi kwao kuliko viwanda ambavyo vingeweza kuwa saidia. Mwaka 2018 Abood aliita watu kuandikisha kama anataka kufufua kiwanda cha MOPROCO raia wakaenda kutuma maomba na kuacha CV ila hadi leo kimya. Anyway sio ishu
So, kuna watu walielewa kuwa kuwazika ni kuwa kuna wafanyakazi walikuwa wanakufa viwandani halafu wanazikwa kwa siri, hapana! Angefanya mambo hayo maana yake ingekuwa ni suala la ajabu serikali ijue halafu ikae kimya, point ni kuwa anawazika raia wote ambao wengine angeweza kuwaajiri kwa kufufua viwanda.
Pia, kwa hili suala limemshushia sana Abood na viongozi wa CCM, Manispaa ya Morogoro so inawezekana akakaa pembeni 2025 ili mwingine achukue, kwa kuwa sidhani kama ataweza kufufua viwanda viwili ndani ya miaka mitano iliyobaki wakati yeye amejiwekeza zaidi kwenye Redio na Usafirishaji.
Kwa vijana wanaotaka kuingia kujaribu bahati yao Morogoro, tutafutane kupeana mikakati kuanzia sasa ili kuikia lengo la kuchukua jimbo na kufanya maajabu, maana Morgoro ina shida nyingi sana. Mikakati inabidi ianze sasa.
Mathematical Equation
Akili za kisukumaHakuna anayempenda Abood acha uwongo, nadhani wewe ni chawa wake amekutuma. Ubunge anapata kwa kuiba kura na wala siyo kwa kupendwa na watu. Hata mbinu zake za kumteka Devota Minja ili apite bila kupingwa zilibuma vibaya sana. Hivi umeona wapi mbunge hata barabara ya kwenda ofisini na nyumbani kwake imemshinda na imejaa mashimo? Barabara ya kwenda chuo cha VETA Kihonda imemshinda kabisa. Yaani JPM kamuweza kweli kweli hafai hafai apishe wengine yeye aendelee na Bus zake maana viwanda hawezi bora wamempora.
Pia unachangia Mafuta😎Hakuna kitu kama hicho, hilo Bus linazika watu manispaa nzima mkuu? Mamisiba kila siku hicho kibus kitaenda kote huko? Kwanza Bus lenyewe halibebi maiti ni wasindikizaji tuu, lazima mfiwa awe na usafiri wake wa maiti.
Huwa anatoa basi nyingiHakuna kitu kama hicho, hilo Bus linazika watu manispaa nzima mkuu? Mamisiba kila siku hicho kibus kitaenda kote huko? Kwanza Bus lenyewe halibebi maiti ni wasindikizaji tuu, lazima mfiwa awe na usafiri wake wa maiti.
huwa hatoi mabasi anatoa moja tu tena la kizamani kuzugaBasi lenyewe analolitoa kwenda kuzika ni ile mi Leyland ya 1980's atoe za zile yutong na Marco polo
Ndio miaka zaidi ya 20 kaacha ndege na mabundi wazaliane tu?Swali linalo onesha upotoshaji wa Mahufuli. Je ni Abood aliyesababisha kiwanda cha tumbaku na kile cha mazava kinacho tengeneza jezi kufungwa na ajira lukuki kupotea? Sio mfumo mbovu wa kodi wa serikali awamu ya tano ulosababisha hivyo viwanda kufungwa hiyo mwakajana? Binafsi sijawahi kumwelewa huyo Magufuli wenu
To be fair kuweka maji ni serikali mkuu kupitia mamlaka zilizopo.Abood ameshindwa kutatua shida ya maji kihonda miaka na miaka
Haya matatizo aliyaongea Afande Sele akapuuzwa kisa jani analotumia juzi kayasema mwenye nchi.Jana Magufuli amemponda sana Mbunge Aziz Abood kwa kuua viwanda lakini kuna kauli haijaeleweka na wadau wa Morogoro wamekuwa kimya kuhusu baadhi ya kauli. Ninalazimika kuandika kuhusu kauli hizo na sababu ya CCM kumsimamisha kama mbunge huku wakijua ameua viwanda
Abood amesimamishwa kwa mara nyingine kama mbunge kwa kuwa tangu zamani amekuwa akitoa magari yake bure kusaidia shughuli za msiba za raia yeyote ndani ya manispaa, Hivyo wadau wanasema Abood anazika watu kwa maana hiyo. Hili jambo pia amesifiwa na Magufuli wakati anazindua Soko la Kingaru Morogoro Mjini.
Morogoro imechukuliwa na Mbunge Abood baada ya Dr. Mzeru kushindwa kufanya kitu, tangu wakati huo viwanda tayari vilikuwa vimeshakufa. Lakini kifupi ni kuwa raia wanamkubali mtu wao kwa sababu hiyo ya kuwazika hivyo hata kwa CCM inakuwa ngumu kumleta mwingine, wakati watu wanamjua Abood
Halafu kama mnavyojua jinsi raia walivyo rahisi kudanganyika, Kuzikwa kuwa wazi zaidi kwao kuliko viwanda ambavyo vingeweza kuwa saidia. Mwaka 2018 Abood aliita watu kuandikisha kama anataka kufufua kiwanda cha MOPROCO raia wakaenda kutuma maomba na kuacha CV ila hadi leo kimya. Anyway sio ishu
So, kuna watu walielewa kuwa kuwazika ni kuwa kuna wafanyakazi walikuwa wanakufa viwandani halafu wanazikwa kwa siri, hapana! Angefanya mambo hayo maana yake ingekuwa ni suala la ajabu serikali ijue halafu ikae kimya, point ni kuwa anawazika raia wote ambao wengine angeweza kuwaajiri kwa kufufua viwanda.
Pia, kwa hili suala limemshushia sana Abood na viongozi wa CCM, Manispaa ya Morogoro so inawezekana akakaa pembeni 2025 ili mwingine achukue, kwa kuwa sidhani kama ataweza kufufua viwanda viwili ndani ya miaka mitano iliyobaki wakati yeye amejiwekeza zaidi kwenye Redio na Usafirishaji.
Kwa vijana wanaotaka kuingia kujaribu bahati yao Morogoro, tutafutane kupeana mikakati kuanzia sasa ili kuikia lengo la kuchukua jimbo na kufanya maajabu, maana Morgoro ina shida nyingi sana. Mikakati inabidi ianze sasa.
Mathematical Equation
Unajua kawekeza kias gan mpaka kaupata???Ingekuwa Mimi ndio yeye NINGEJIUZULU Ubunge.