Kisichoeleweka kwa wadau kuhusu mbunge wa Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood

Morogoro mkoa Mkubwa Sana ule hawaigawi kama mingine?? (Arusha & Mbeya).
 
Kazi ya mbunge siyo kujenga viwanda.

Magufuli amefeli miserably halafu anatafuta wa kumlaumu.

Yeye anakusanya pesa za wanyonge halafu anahonga covid-19, kina Mwita Waitara, Anajenga Chato na kulipa madeni aliyoyatengeneza kizuzu kabisa halafu anamlaumu mtu.
 
Akili za kisukuma
 
Mambo ya kuzika alianza Mzee Hood.
Alitoa bus pia ya kuzikia ila alipotoswa ktk kura za Maoni akaacha kutoa bus.

Ila lazima uchangie mafuta😂
 
Hakuna kitu kama hicho, hilo Bus linazika watu manispaa nzima mkuu? Mamisiba kila siku hicho kibus kitaenda kote huko? Kwanza Bus lenyewe halibebi maiti ni wasindikizaji tuu, lazima mfiwa awe na usafiri wake wa maiti.
Pia unachangia Mafuta😎
 
Kwa kweli nimeona faida ya kuwa na wananccm wengi bungeni maana hapo sasa ndipo wata tajana wanao vuruga uchumi
" Maendereo hayana chamaaaaaaaa"
 
Hakuna kitu kama hicho, hilo Bus linazika watu manispaa nzima mkuu? Mamisiba kila siku hicho kibus kitaenda kote huko? Kwanza Bus lenyewe halibebi maiti ni wasindikizaji tuu, lazima mfiwa awe na usafiri wake wa maiti.
Huwa anatoa basi nyingi
 
Swali linalo onesha upotoshaji wa Magufuli. Je ni Abood aliyesababisha kiwanda cha tumbaku na kile cha mazava kinacho tengeneza jezi kufungwa na ajira lukuki kupotea? Sio mfumo mbovu wa kodi wa serikali awamu ya tano ulosababisha hivyo viwanda kufungwa hiyo mwakajana? Binafsi sijawahi kumwelewa huyo Magufuli wenu
 
Mnajiandikia hapa mnajua wenyewe nani kawatuma..kwanza hamjui hata kumtetea mnajikanyaga tu..Mara anapendwa mara atakupoteza mara hivi sasa hamueleweki.
 
Abood ameshindwa kutatua shida ya maji kihonda miaka na miaka
 
Ndio miaka zaidi ya 20 kaacha ndege na mabundi wazaliane tu?
 
Haya matatizo aliyaongea Afande Sele akapuuzwa kisa jani analotumia juzi kayasema mwenye nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…