Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,059
Akiwa kama mbunge alipaswa alivalie kibwebwe wapiga kura wake wapate majiTo be fair kuweka maji ni serikali mkuu kupitia mamlaka zilizopo.
Huwa anatumia utaratibu gani kulitoa?,akiona msiba anaenda kuwaomba wafiwa atoe basi au wafiwa ndio wanaenda kuombahuwa hatoi mabasi anatoa moja tu tena la kizamani kuzuga
Ni utaratibu ambao kafanya uwe mazoea kwa watu wa Morogoro, mwanzo alikuwa na timu ya watu wanafatilia kujua taarifa za misiba na kuleta taarifa kisha anaratibu msaada wa usafiri.Huwa anatumia utaratibu gani kulitoa?,akiona msiba anaenda kuwaomba wafiwa atoe basi au wafiwa ndio wanaenda kuomba
Huu mkoa ni mgumu jamani...wengine hatuko serikalini lakini ukiuangalia kwa undani sidhani kama kuna mkoa uliobobea vigeugeu, unafiki, fitina, majungu, pashkuna, vizavizabina, utapeli wa ardhi, migogoro ya wakulima na wafugaji kama Morogoro!Mkoa wa Morogoro kuna watu wamuufanya shamba la bibi. Rais akiwa Kilosa pia alichukizwa kuhusu mashamba. Morogoro inahitajika uongozi imara kuliko mikoa mwingine kuanzia mkuu wa mkoa,wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa Halmashauri, wakuu wa idara zote ndani ya Halmashauri.
Pia mkoa wa Morogoro unaonyesha hauna vipaumbele vya mkoa wako, kama vipio ni nadharia tu. Morogoro kuna kila kitu ila wananchi wake ni maskini sababu hazijulikani.
Ingekuwa Mimi ndio yeye NINGEJIUZULU Ubunge.
Abood ni kielelezo cha uchafu unaolelewa na mfumo kwa mgongo wa siasa za " mwenzetu" za CCM.Jana Magufuli amemponda sana Mbunge Aziz Abood kwa kuua viwanda lakini kuna kauli haijaeleweka na wadau wa Morogoro wamekuwa kimya kuhusu baadhi ya kauli. Ninalazimika kuandika kuhusu kauli hizo na sababu ya CCM kumsimamisha kama mbunge huku wakijua ameua viwanda
Abood amesimamishwa kwa mara nyingine kama mbunge kwa kuwa tangu zamani amekuwa akitoa magari yake bure kusaidia shughuli za msiba za raia yeyote ndani ya manispaa, Hivyo wadau wanasema Abood anazika watu kwa maana hiyo. Hili jambo pia amesifiwa na Magufuli wakati anazindua Soko la Kingaru Morogoro Mjini.
Morogoro imechukuliwa na Mbunge Abood baada ya Dr. Mzeru kushindwa kufanya kitu, tangu wakati huo viwanda tayari vilikuwa vimeshakufa. Lakini kifupi ni kuwa raia wanamkubali mtu wao kwa sababu hiyo ya kuwazika hivyo hata kwa CCM inakuwa ngumu kumleta mwingine, wakati watu wanamjua Abood
Halafu kama mnavyojua jinsi raia walivyo rahisi kudanganyika, Kuzikwa kuwa wazi zaidi kwao kuliko viwanda ambavyo vingeweza kuwa saidia. Mwaka 2018 Abood aliita watu kuandikisha kama anataka kufufua kiwanda cha MOPROCO raia wakaenda kutuma maomba na kuacha CV ila hadi leo kimya. Anyway sio ishu
So, kuna watu walielewa kuwa kuwazika ni kuwa kuna wafanyakazi walikuwa wanakufa viwandani halafu wanazikwa kwa siri, hapana! Angefanya mambo hayo maana yake ingekuwa ni suala la ajabu serikali ijue halafu ikae kimya, point ni kuwa anawazika raia wote ambao wengine angeweza kuwaajiri kwa kufufua viwanda.
Pia, kwa hili suala limemshushia sana Abood na viongozi wa CCM, Manispaa ya Morogoro so inawezekana akakaa pembeni 2025 ili mwingine achukue, kwa kuwa sidhani kama ataweza kufufua viwanda viwili ndani ya miaka mitano iliyobaki wakati yeye amejiwekeza zaidi kwenye Redio na Usafirishaji.
Kwa vijana wanaotaka kuingia kujaribu bahati yao Morogoro, tutafutane kupeana mikakati kuanzia sasa ili kufikia lengo la kuchukua jimbo na kufanya maajabu, maana Morogoro ina shida nyingi sana. Mikakati inabidi ianze sasa.
Mathematical Equation
Ukichangia mafuta ujue umeliwa, gari ni bure completely na ameshazungumzia hilo mara nyingiPia unachangia Mafuta😎
Shida ziko kila sehemu kiutendaji, Bwawa la Mindu walianza kitambo kulizungumzia ili kuongeza upatikanaji wa maji kwa Manispaa lakini hadi sasa imekuwa ni kwenye maandishi tu hakuna vitendoMkoa wa Morogoro kuna watu wamuufanya shamba la bibi. Rais akiwa Kilosa pia alichukizwa kuhusu mashamba. Morogoro inahitajika uongozi imara kuliko mikoa mwingine kuanzia mkuu wa mkoa,wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa Halmashauri, wakuu wa idara zote ndani ya Halmashauri.
Pia mkoa wa Morogoro unaonyesha hauna vipaumbele vya mkoa wako, kama vipio ni nadharia tu. Morogoro kuna kila kitu ila wananchi wake ni maskini sababu hazijulikani.
Morogoro ni tabu tu, hakuna kitu kinakera kama mashimo ya barabarani na maji.Na asikudanganye mtu hivi Bus moja au mawili makuu kuu yanaweza kuzika wakazi wa manispaa nzima ambao wanakufa daily?? Sijaona hata akihamasisha ujenzi wa vituo vya afya, mfano Kihonda nzima hakuna kituo cha afya, watu inabidi waende mafiga hukooo... Haya ameshindwa hata kushirikisha wananchi kuamua stend mpya ya daladala iwe wapi matokeo yake wameihamishia porini huko Mafiga. Yaani kama unaenda hospitali ya mkoa uende kushukia huko mafiga halafu upande bodaboda au bajaji kuja mjini tena. Ameshindwa kuchukua mawazo ya wananchi ili angalau stendi ihamie pale Fire (wawahamishe wauza mbao wote pale) waende huko Mafiga....
Magufuli analalamika kuwa watendaji wake wanamwangusha, ninani anayewateua, anawateua kwa sifa zipi?Mkoa wa Morogoro kuna watu wamuufanya shamba la bibi. Rais akiwa Kilosa pia alichukizwa kuhusu mashamba. Morogoro inahitajika uongozi imara kuliko mikoa mwingine kuanzia mkuu wa mkoa,wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa Halmashauri, wakuu wa idara zote ndani ya Halmashauri.
Pia mkoa wa Morogoro unaonyesha hauna vipaumbele vya mkoa wako, kama vipio ni nadharia tu. Morogoro kuna kila kitu ila wananchi wake ni maskini sababu hazijulikani.
Magufuli analalamika kuwa watendaji wake wanamwangusha, ninani anayewateua, anawateua kwa sifa zipi?
Mfano mzuri mkuu wa mkoa huyu,Ole sanare amekwisha shindwa kuongoza mkoa was morogoro, sijui mkuu aliangalia Nini kwake hata akampa mkoa
Mkuu wa wilaya kilosa huyo ndiyo buyu yupu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
RC aliangizwa chaka, huu haukupaswa kuwa mkoa wake wa kwanza kuongoza, Mwenyekiti CCM mkoa, bila uzoefu wa utendaji serikalini ni shida.Magufuli analalamika kuwa watendaji wake wanamwangusha, ninani anayewateua, anawateua kwa sifa zipi?
Mfano mzuri mkuu wa mkoa huyu,Ole sanare amekwisha shindwa kuongoza mkoa was morogoro, sijui mkuu aliangalia Nini kwake hata akampa mkoa
Mkuu wa wilaya kilosa huyo ndiyo buyu yupu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Binafsi Naona Ni Ujuha Tu Wananchi kuwa cloned na mbunge wao kuwasaidia mazishi kwa kutoa magari ya mazishi.Huwa anatumia utaratibu gani kulitoa?,akiona msiba anaenda kuwaomba wafiwa atoe basi au wafiwa ndio wanaenda kuomba
wafiwa huenda kuomba usafiri.Huwa anatumia utaratibu gani kulitoa?,akiona msiba anaenda kuwaomba wafiwa atoe basi au wafiwa ndio wanaenda kuomba
Kutafuta mikakati ya nini, huku tayari Abood kishawapa somo?Kwa vijana wanaotaka kuingia kujaribu bahati yao Morogoro, tutafutane kupeana mikakati kuanzia sasa ili kufikia lengo la kuchukua jimbo na kufanya maajabu, maana Morogoro ina shida nyingi sana. Mikakati inabidi ianze sasa.
Kuzika waliokufa imekuwa jambo la maana kuliko kuzuia wasife !Jana Magufuli amemponda sana Mbunge Aziz Abood kwa kuua viwanda lakini kuna kauli haijaeleweka na wadau wa Morogoro wamekuwa kimya kuhusu baadhi ya kauli. Ninalazimika kuandika kuhusu kauli hizo na sababu ya CCM kumsimamisha kama mbunge huku wakijua ameua viwanda