Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,414
Reaction score
11,252
1. Nipo Kisiju, idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje?

2. Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi, KUSWALI/KuSALI na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana na watu hawapendi kazi ni mwendo wa swala na Ngoma/kuoa/kuolewa tu.

3. Nimeanzisha shamba la ufugaji (Ng'ombe, kondoo na mbuzi) hapa Kisiju Sasa nimeajiri vijana 4 kazi wanafanya wanavyojisikia, ukiuliza ndo mambo ya SWALA yanaibuka. Nafikiria kufukuza wote niajiri Wasukuma au Wanyiramba.

NB: Kazi na ibada vinakwenda sambamba Ila hapa Kisiju watu Ni wavivu wa kazi wanabaki ombaomba tu
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju no tofauti Sana

Sasa huko Uislamu si ndio kama dini kuu, na wajua waislamu huswali swala 5 kwa siku...

Sio jambo la kushangaa...
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju no tofauti Sana
Kusali sana hakuondoi umasikini.
Kufanya kazi sana bila Mungu nako ni ubatili.

Kila kitu kinapaswa kuwa na kiasi...
Kusali kiasi, kazi sana lakini ibada muhimu
 
Hapo ndipo waislam wanapokosea.

Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.

Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.

Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.

Hizi dini tulizoletewa ni myth tu


Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.

Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii

Japan, korea na China hawamjui Yesu , wala mtume Muhammad ila wanaendelea kwa spidi.

Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?
 
Na
Hapo ndipo waislam wanapokosea.

Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.

Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.

Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.

Hizi dini tulizoletewa ni myth tu


Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.

Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii

Japan, korea na China hawamjui Yesu , mtume Muhammad wala Mungu ila wanaendelea kwa spidi.

Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?
Huu ndio mtaji wa ccm
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Kule hakufai kabisa. Pamesahaurika sana. Watu hawaendi shule, badala yake ni Madrasa, akipiga zake Madrasa miaka minne tayari ni msomi wa heshima.
Kinywaji adui kuliko vyote kule ni 'Fanta'😃. Fanta ina historia yake kule😀
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
wewe unataka watu wawe na chuki na watu wa Kilimanjaro, wawaombee njaa. Andrew na kisiju wapi na wapi? Mimi nipo kisiju pwani, wewe upo wapi?mnafik sana. Unafanya watu wachukie wachaga zaidi.
 
Back
Top Bottom