Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Ilikua ni kabla ya mwaka 1993. Inasemekana kuna ngalawa au mtumbwi ulipunduka huko Commoro, sasa kama ilivyo kawaida, watu wa Pwani wana msemo unasema bahari haikai na uchafu.

KIle chombo kilichozama kilikua na mzigo mkubwa tu, mzigo ule ulisukwasukwa na mawimbi hadi mizigo mingine ikatokea Pwani ya Kisiju. Katika mzigo ule kulikuwepo na vinywaji vilivyokuwa kwenye kopo.

Pakawa na udadisi sana kuhusiana na kilichokuwemo mule ndani. Hapo mzigo upo mikononi mwa wazee wanao heshimika na kule wazee wanaoheshimika na Shehe, Imam, Ostaadhi na wengineo ambao ni viongozi kwenye dini na wazee ndani ya jamii😀.

Wakati wanajiuliza kuhusu kilichomo mwenye vikopo vile, ikabidi akatafutwe kijana mmoja ambaye ndiye allikua ni mjanja mjanja pale Kisiju maana alikua ni mtu wa kuvuka sana, yaani kwenda sana mjini😀 (Mbagala na Mkuranga 1991 - 1993)😃.

Kijana alipoitwa, akawekwa kati na wazee ambapo wakamuuliza kuhusu vile vikopo. Kijana wa mjini alipoviangalia, akawaambia "aaah hizi ni fanta, ni soda tamu sana hizi" kijana akafungua, akaonja mbele yao akaomba na vikopo kadhaa aondoke navyo wakampatia vikopo vinne akasepa.

Wale wazee kwa kuwa palikua na cartons za kutosha wakaugawa ule mzigo haki bin haki na hata wasiokuwepo wakapelekewa. Basi wazee ma Mwinyi wakaanza kunywa fanta kikopo kimoja baada ya kingine.

Ikafika muda wa azana kimya, muda wa azana nyingine kimya...wanaanza kutafutwa viongozi msikitini wote hawapo, kuanzia Muazini hadi Mnadi swala, waumini ni mmoja mmoja. Walipowafuata majumbani wanakuta watu hawajitambua, kuja kustuka na kurudiwa na akili ni kesho yake.

Ikabidi kiitishwe kikao waulizane ni kipi kilitokea na yule kijana mtaalamu wa mjini naye akaitwa. Wakamleta wamembeba. Maana yeye baada ya kikopo kimoja alitulia , siku hiyo asubuhi ndiyo akanywa.

Yule kijana akaulizwa ina maana wakinywa fanta ndiyo inakuwa vile? Katika vitu viliwakwaza na kuwakasirisha wale wazee ni siku kupita bila azana na kwa ukubwa wa mzigo karibu waumini na wananchi wengi walikua bwii. Wakiulizwa nini kimetokea wanajibu kwa sauti ya kilevi "Fantaa", wakiulizwa ndiyo nini na imefanya nini wanajibu tena "Fantaa".

Katika kujadiliana Ilibidi wazee wafikie muafaka wa kuipiga marufuku Fanta pale Kisiju, na hatua kali kuchukuliwa kwa yeyote atakayekutwa anakunywa au hata kuileta Fanta pale Kisiwani.

Kumbe walichokuwa wamekunywa siyo Fanta bali ni beer aina ya Stella Artois ya vikopo ambayo ilikua maarufu sana miaka ile😃View attachment 2782313
Kijana alistahili viboko. Fanta mkubwa yule hahaaa
 
1. Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje?

2. Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi, KUSWALI/KuSALI na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana na watu hawapendi kazi ni mwendo wa swala na Ngoma/kuoa/kuolewa tu.

3. Nimeanzisha shamba la ufugaji (Ng'ombe, kondoo na mbuzi) hapa Kisiju Sasa nimeajiri vijana 4 kazi wanafanya wanavyojisikia ukiuliza ndo mambo ya SWALA yanaibuka. Nafikiria kufukuza wote niajiri Wasukuma au Wanyiramba.

NB: Kazi na ibada vinakwenda sambamba Ila hapa Kisiju watu Ni wavivu wa kazi wanabaki ombaomba tu
Kisiju Pwani, hatari sana hapo bandari ya kwenda Mafia ipo hapo. Wavivu sana ila mdomoni wanajua kila kitu. Dini ya kiislam inawapa watu confidence ya uongo sana. Siku wakigutuka sijui watamfanyaje muasisi wa hiyo cult, anyway nakushauri fuga nguruwe.
 
Kama Tanga. Wanaswali kama hawana akili nzuri. Hawataki frmal schooling, wao ni madrasa na misikiti
 
Hapo ndipo waislam wanapokosea.

Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.

Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.

Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.

Hizi dini tulizoletewa ni myth tu


Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.

Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii

Japan, korea na China hawamjui Yesu , wala mtume Muhammad ila wanaendelea kwa spidi.

Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?
korea iondoe au unamaanisha korea kaskazini?
 
Inanikumbusha hii nukuu nimeisoma Jana katika Yajur Veda.

Worship one God. Have knowledge of cause and effect. Please hundreds of souls. Practice one hundred and one trades. Acquire the power to burn sins. Attain to final beatitude.

Hawa Wahindi,by the way, ndiyo wame- invent Capitalism.

Babylonians walijifunza Capitalism from the Indians.

Wayahudi wakajifunza Capitalism during the Captivity of 70 years.

Lakini nimeisoma hiyo quote nikajiuliza kama kweli Yesu alisema
You cannot worship God and Mammon.
Ni kuwapotosha watu ukiwafundisha kwamba trade is bad for them.
 
Back
Top Bottom