MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Sasa ni Wakinga na Wawanji ndio wanaongoza kwenye biashara.Ufahamu wako kidogo sana kuhusu Wachaga!
Unafahamu mashisika haya ni mali ya nani? Precision Air, Mabasi ABC, BM, Kilimanjaro, Dar Express, Viwanda Cococola, Bank ACB nk.nk. nk. Duka la Mangi ni kila sehemu Hapa Tanzania?
Hawa watu ni maskini?
Jifunze kuwafahamu watu kwanza ndo uje hapa!
Ninyi wachaga mmebakia sifa tu