FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Usisome "maoni ya watu" isome dini yenyewe, ukiyasoma "maoni ya watu" utachanganyikiwa kweli.Ukisoma maoni ya watu kuhusu mambo ya dini utagundua hizi imani zinaharibu akili tu hakuna cha zaidi.
Utamkuta Uislam haujuwi na anautolea maoni, hata Qur'an ambacho ndiyo muongozo wa Waislam haisomi kwanza na imejaa mtandaoni kwa tafsiri za kila lugha.
Ukitaka kuujuwa Uislam, soma Qur'an.