ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,361
- 4,110
Rejeeni mashirika ya umma kuendeshwa na wachaga na kuajiri wachaga na wakistru.imefika mahali waislam ni wa kuwahesabu.Hapo ndipo waislam wanapokosea.
Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.
Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.
Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.
Hizi dini tulizoletewa ni myth tu
Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.
Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii
Japan, korea na China hawamjui Yesu , wala mtume Muhammad ila wanaendelea kwa spidi.
Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?
Alipojaribu Dr Dau na Nssf kuajiri anao wapenda yeye mlimbebesha chuki kuwa kuna uislam umeshika nssf na waislam. huku data za mashirika mengine kama CRDB,TANESCO,Azania bank. na mengineyo mkificha.JPM aliendesha zoezi la vyeti feki malengo ni serikalini lkn kukubwa ni kuona nssf wanapukutishwa sababu ya waislam haaana vyeti,matokeo yake wakaone waishie tu sababu wangeshuka chini zaidi ni nchi ingesimama,wakisrto wengi wameajiliwa kwa kuletwa kwanza.
Kuhusu KISIJU ndio mjue na mjitafakari watapata wapi kazi ?zaidi ya ujasiria mali mdogo mdogo wapate cha kula na sio serikalini wanalipwa na kuiibia serikali ili wawe matajiri kama wewe andrew 123.