Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Kibiti HukoKijisu ndiyo wapi huko ndani ndani.
Kibiti HukoKijisu ndiyo wapi huko ndani ndani.
Kibiti HukoKijisu ndiyo wapi huko ndani ndani.
Mjue ninyi mnaumia bure.Hapo ndipo waislam wanapokosea.
Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.
Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.
Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.
Hizi dini tulizoletewa ni myth tu
Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.
Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii
Japan, korea na China hawamjui Yesu , mtume Muhammad wala Mungu ila wanaendelea kwa spidi.
Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?
Sehemu kama hiyo umaskini lazima utakuwa mkubwa tu,Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Unataka wawe na maendeleo gani?Sehemu kama hiyo umaskini lazima utakuwa mkubwa tu,
Shule hakuna, ila kuna elimu iitwayo ya kiroho (yaani elimu ya mauongo)
Watu wa maeneo kama Kisiju hawawezi kuuelewa ulimwengu kisawasawa, kwasababu akili zao zitakuwa zinaongozwa na maandishi ya watu wa karne ya 7 ambao hawakujua hata jua linaenda wapi usiku.
Imani za kidini ni shambulio la akili
Nadhani chuki ndio zimekuongoza mpaka umeleta uzi hapa JFNipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
1. Dini hailetwi. Kwani maana ya dini ni mfumo wa maisha. Dini ni utamaduni wako uliojiwekea na kuutukuza. Si wa babu yako. No. WakoHapo ndipo waislam wanapokosea.
Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.
Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.
Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.
Hizi dini tulizoletewa ni myth tu
Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.
Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii
Japan, korea na China hawamjui Yesu , mtume Muhammad wala Mungu ila wanaendelea kwa spidi.
Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?
Dini yetu ya kiislamu ni tofauti na dini yenu.Niwe tu mkweli! Simuungi mkono mtoa mada kwa kuingilia maisha ya watu wasiomhusu. Ila na wewe pia huu mfano ulio utumia ni irrelevant!
Mtoa mada anaowaongelea watu wa Kisiju. Wewe unaleta habari za Bakhresa, as if unayafahamu maisha yake kabla na baada ya kufanikiwa. Mafanikio ya Bakhersa ni ya kwake. Na wala hayana uhusiano wowote ule na watu wa Kisiju, au watu wa imani yake.
Waache waswaliNipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Na hiki ndicho nlichokuwa nakimaanisha.Kwahiyo swala sio tatizo, maana bakhresa anaswali mara tano still ni tajiri kuliko wewe unaeenda jumapili hadi jumapili, na hata hao wa kisiju kama ni mafukara kama wewe basi ufukara wao hausababishwi na swala
Swala la kuswali/misikiti haihusiani na watu kutofanya kaziNipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Wakumbuke hata waarabu wa Dp world wanaswali na wanajenga misikiti 😂😂Na hiki ndicho nlichokuwa nakimaanisha.
Akhy hawa watu wana chuki na uislamu na waislamu kiasi kwamba kufeli kwa muislamu kutahusishwa na dini yake.
Tuwahurumie tu.
Si amesema wanaswali muda wote huo muda wa kulima matikiti wanaupata wapi?Kafata matikiti mkuu maana huko kilimo chao ni matikit
Una ushauri gani mkuu?Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Yeah you are right.Are you sure Bakhresa is rich because of 5 times a day prayer 5? I am sure It is not
Sawa ndugu yangu katika imaan. Uwe na Dominika njema!Dini yetu ya kiislamu ni tofauti na dini yenu.
Sisi hata salamu yetu ni uniform all over the world.
Mfumo wetu wa maisha pia ni uniform ukitoa waliodeviate.
Hakuna tofati ya muislamu wa kusiju Mbagala Bagamoyo Kilwa Masaki na hata misri kwenye suala zima la ibada.
Kwahiyo nilichomjibu kipo relevant.
Tatizo lenu mna chuki na amuupendi uislamu kila failure ya muislamu mnapenda kuihusisha na dini yake which is very wrong.
Wewe na Bakhresa mko kundi moja la wenye hela?Kama kuswali kunapoteza muda kwanini kina Bakhresa na mimi bado tuna pesa pengine za kuulisha na kuuvisha ukoo wenu wote kwa karne?
Kushinda msikitini au kanisani hakujawahi leta hela.linapokuja suala la kufikiri jambo lolote linalowahusu waislamu mnatanguliza sana hisia mbele kuliko facts.
Wapi nimesema naumia?Sasa na wewe mtu akiswali swala tano unaumia nini?