Mungu alisema tufanye kazi kwa siku 6, siku ya 7 ni kumuabudu na kupumzikaKusali sana hakuondoi umasikini.
Kufanya kazi sana bila Mungu nako ni ubatili.
Kila kitu kinapaswa kuwa na kiasi...
Kusali kiasi, kazi sana lakini ibada muhimu
Shekh kawasaidie GazansWalikuja kukuomba kula au we ndo unayepatia mahitaji yao kwa kuwa hawafanyi kazi.
Walikutuma uje hapa utuambie
We ndio naona Huna kazi ya kufanya
Waislamu wengi ni masikini kuliko Wakristowewe una utajiri gani kumzidi Bakhresa anayeswali swala tano?
Labda kwa sababu anawapa omba omba wao mifwedhaWewe una hela gani kumzidi Bakhresa?
Au nawe huna hela kisa huswali. Una maanisha Bakhresa hela kaipata kwa kuswali mara tano kwa siku?
Umetumia nini kusema watu wa Pwani ni masikini kuliko Kagera?
Takwimu zako umezitoa wapi?
GDP ipi unayoizungumzia wewe?
GDP per Capita, PPP na HDI.
Embu onyesha hizo takwimu ikionyesha uchumi wa Kagera kuliko Pwani?
Population hapa ulikuwa na maana gani?
Viwanda vingapi vinavyoubeba mkoa wa Pwani?
Hata kama ni Viwanda, je wilaya ngapi Hazina viwanda?
Ukiitoa Mkuranga na Kibaha ndio kwenye viwanda vingi na sehemu ndogo, kwa mbali Bagamoyo.
Vipi wilaya ya Kisarawe?
Vipi wilaya ya Kibiti?
Vipi wilaya ya Rufiji
Vipi wilaya ya Mafia?
Eneo kubwa la wilaya ya Bagamoyo?
Hivyo hoja yako ni mfu
katika matajiri 10 nchi hii wanane ni waislamu wa swala tano, ila mijitu haijifunzi tu
Kwani wewe ndiye unaowalisha wao na familia zao? Wameshawahi kukufuata kukutolea shida zao na kukuomba uwasaidie? Uwepo wa misikiti unakukwaza nini wewe? Je, wamekulazimisha ukaswali kwenye hiyo misikiti? Kisiju ipo miaka dahari hadi wewe uliyezaliwa juzi kati umeikuta. Ingekuwa hawafanyi kazi kama unavyosema mji huo ungekuwepo miaka yote hii? Acha chuki zako kwa Waislam hazitakusaidia chochote.
Kiuhalisia ni ngumu kumfanya mkristo kuwa muislamu ila ni jambo gumu sana kumfanya muislamu awe mkristo unajua kwanini?
Kilimanjaro watu wanapiga kazi, wanajenga shule zao bila msaada tofaut na KISIJU na maeneo jirani. Kisima cha maji tu msaada toka Kuwait
Mwarabu anabadilisha Jangwa kuwa mji wa biashara huku Kisiju wanaletewa tende za misaada wakati wa kufuturuNi watu walio na fikra duni wameaminishwa na waarabu kuwa dunia hadaa wajiandae na pepo huku mwarabu akiwafirimba.
@Andrew123 Babu Kuna watu hata hawaswali na wanapiga hizo kazi unazotaka ww na bado maisha Yao ni ya kawaida.?? Unataka kusema kuwa usipokuwa unaswali ndio unapiga kazi sana unatengeneza Hela sana? Acha fikra potofu kuwa kuswali sana ni kupoteza nguvu kazi.?? Kwani huko makazini Kuna nini Cha ziada watu si wanachart tu.?? Kwahiyo kutumia dakika 15 kwenda kuswali ndio nongwa mpaka inaandika na thread kabisa.!Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Kafata matikiti mkuu maana huko kilimo chao ni matikit
Umewahi kufika Kisiju?@Andrew123 Babu Kuna watu hata hawaswali na wanapiga hizo kazi unazotaka ww na bado maisha Yao ni ya kawaida.?? Unataka kusema kuwa usipokuwa unaswali ndio unapiga kazi sana unatengeneza Hela sana? Acha fikra potofu kuwa kuswali sana ni kupoteza nguvu kazi.?? Kwani huko makazini Kuna nini Cha ziada watu si wanachart tu.?? Kwahiyo kutumia dakika 15 kwenda kuswali ndio nongwa mpaka inaandika na thread kabisa.!
Nitajie eneo moja Tanzania ambalo halina ushirikina?
Kwahiyo unataka kusema nini? Waislam waache kuswali kwa sababu kuna wachawi wanaswali?Hoja ni kujifanya kuswali swala zote ilihali mtu ni Mchawi na mshirikina.
Huko kwingine wachawi wapo lakini hawaswali kiivyo swala zote,
Mtu anae swali/Sali inatarajiwa awe mtenda mema ,
Mtu asojaa husuda na chuki zidi ya mtu mwingine,
Lakini mtu anajifanya kuswali/kusali ilihali moyoni ni muovu muuaji inafaida gani?!
Ndiyo maana maendeleo yanachelewa na nchi kuwa gizani pamoja na kupata Uhuru kwa zaidi ya miaka 60
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]imebidi niingie google images kuiangalia Kisiju ipoje. picha yake ya kwanza tu ikanikumbusha location za tamthilia za akina Madebe Lidai. kumbe filamu zao wanachukulia huku.
Ingekuwa hawatakufa sawa. Au wadhani ukifa ndo basi tenaHapo ndipo waislam wanapokosea.
Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.
Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.
Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.
Hizi dini tulizoletewa ni myth tu
Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.
Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii
Japan, korea na China hawamjui Yesu , wala mtume Muhammad ila wanaendelea kwa spidi.
Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?