Wakristo wana tabu sana kwakweli
Hiyo ndio itamaliza matatizo ya kisiju?Soon tutaweka mission hapo kisiju ili kuwakomboa wafungwa na kuwafungua minyororo ya dhambi na kuwapatia wokovu,sema ameen.
Hiyo ndio itamaliza matatizo ya kisiju?
Watu weusi na imani
Fanya yaliyo kupeleka huko, mengine waachie wenyeweNipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Swala 5 ni muhimu sana mkuu. Wewe hutaki watu wakienda peponi wapewe mabikra 72 wa kudinya kila siku? Roho mbaya hiyo!Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
we kafanue mambo yako hakuna unayemlisha. Huko Unakokutaja Kilimnjaro kuna wazembe, wavivu na walevi wengi tu acheni kudanganya watu. Kwanza Kilimanjaro hasa wachaga hawafanagi kazi nguma za uzalishaji wao kazi yao kubwa ni uchuuzi. Hakuna watu wavivu km wachaga, wazalishaji kule kaskazini hasa ni wairaqw na wamasai ndio wenye mashamba makubwa ya kilimo na ufugaji ingawa huwezi kusikia wakipiga kelele za kujisifu. Wachaga lilikuwa kabila dogo tu lilokuwa ndani ya wilaya ya Arusha wakati Northern province ikiwa na wilaya 2 za Mbulu na Arusha. Hata sahivi bado kabila la kawaida ila lenye kupenda kujisifu kwa mambo madogo mno, ni kwamba hamjiamini. Post zenu za hovyo zinakera humu JF badilikeni acheni upuuzi wa kujisifu na kudharau makabila mengine ambayo hata yamewazidi mali sema hawataki maoneshoKijisu ndiyo wapi huko ndani ndani.
Huko ndiko pa kutafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kumalizia maisha. Safi sana. Nipe koneksheni ya kiwanja mkuu.Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Duuh brother.... Are you OK?we kafanue mambo yako hakuna unayemlisha. Huko Unakokutaja Kilimnjaro kuna wazembe, wavivu na walevi wengi tu acheni kudanganya watu. Kwanza Kilimanjaro hasa wachaga hawafanagi kazi nguma za uzalishaji wao kazi yao kubwa ni uchuuzi. Hakuna watu wavivu km wachaga, wazalishaji kule kaskazini hasa ni wairaqw na wamasai ndio wenye mashamba makubwa ya kilimo na ufugaji ingawa huwezi kusikia wakipiga kelele za kujisifu. Wachaga lilikuwa kabila dogo tu lilokuwa ndani ya wilaya ya Arusha wakati Northern province ikiwa na wilaya 2 za Mbulu na Arusha. Hata sahivi bado kabila la kawaida ila lenye kupenda kujisifu kwa mambo madogo mno, ni kwamba hamjiamini. Post zenu za hovyo zinakera humu JF badilikeni acheni upuuzi wa kujisifu na kudharau makabila mengine ambayo hata yamewazidi mali sema hawataki maonesho
Bakhresa kapata pesa kwanza now anapiga swala 5 sidhan kama alikua anafanya hivyo alipokua masikin.Wewe una hela gani kumzidi Bakhresa?
Au nawe huna hela kisa huswali. Una maanisha Bakhresa hela kaipata kwa kuswali mara tano kwa siku?
Moja kati ya mikoa masikini ni Kagera na umejaa wakristo, vipi hiyo Imani unayotaka uwapelekee watu wa Kisiju imeshindwaje kuwakomboa watu wa Kagera?Sasa kama imani yao hadi sasa imezidi kuwaletea umasikini unategemea nini,option ni kuachana nayo au kuwapatia imani nyingine
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Moja kati ya mikoa masikini ni Kagera na umejaa wakristo, vipi hiyo Imani unayotaka uwapelekee watu wa Kisiju imeshindwaje kuwakomboa watu wa Kagera?
Mkoa wenye kipato Cha chini zaidi kwa mtu mmoja mmoja ni Simiyu na Imani ya kikristo Ina mizizi yake, Sasa hawa haikuwasaidia ila unadhani Kisiju itasaidia!?
Kwako huna alternative zaidi ya Imani as if Imani huleta maendeleo na hali za watu?
Nikisema nawe una tatizo la kufikiri nitakuwa nimekutusi? au ni mdini wa Imani Fulani na kila tatizo hutumia angle hiyo kulitizama!?
Kwa nini usiwaze kwanza kuboresha usafiri na miundombinu ya barabara?
Maana kutoka njia panda ya Mkuranga mpaka Kisiju ni kilomita 47 hakuna lami na njia hii inakonekti bandari ya Kisiju pwani.
Acha Imani za ajabu, ndio maana unaambiwa ninyi mmuamini Mungu wa Israel wakati wenzenu wanajilinda na advance tekinolojia ya kuzuia makombola Iron dome