Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Tunaongelea gdp ya mkoa ambayo ni tokeo la makusanyo kwa mkoa na idadi ya watu katika mkoa husika.

Ni mjinga tu atakayeamini watu wa kagera ni masikini ukilinganisha na watu wa pwani,hapa nazungumzia uchumi wa mtu binafsi.
Point
 
andrew kafiri mwana kukitafuta mwana kukipata, kesho atasema hao ni magaidi mradi kafiri anafurahi chuki zake
 

Mkoa wa pwani unabebwa na uwepo wa viwanda hivyo makusanyo ya kodi ni mengi ukigawa kwa idadi ya watu lazima gdp iwe kubwa.

Ila hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja na uchumi wa familia nyingi mkoa wa pwani upo hoi.
 
Waacheni wafanye ibada

Kwani kuna shida gani

Ova
 
Binafsi huwa sielewi mtu kuswali swala zote halafu ni Mchawi anaharibu maisha ya watu waugue, mambo yao yakwame n.k
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Sasa wewe unataka siku ya umulkiama wakachomwe na moto!!
 
Sasa huko Uislamu si ndio kama dini kuu, na wajua waislamu huswali swala 5 kwa siku...

Sio jambo la kushangaa...
Hoja yake ni kuwa - wanafanya shughuli za uzalishaji wakati gani?
 
Tunaongelea gdp ya mkoa ambayo ni tokeo la makusanyo kwa mkoa na idadi ya watu katika mkoa husika.

Ni mjinga tu atakayeamini watu wa kagera ni masikini ukilinganisha na watu wa pwani,hapa nazungumzia uchumi wa mtu binafsi.
Umetumia nini kusema watu wa Pwani ni masikini kuliko Kagera?

Takwimu zako umezitoa wapi?
GDP ipi unayoizungumzia wewe?
GDP per Capita, PPP na HDI.

Embu onyesha hizo takwimu ikionyesha uchumi wa Kagera kuliko Pwani?

Population hapa ulikuwa na maana gani?
 
Mkoa wa pwani unabebwa na uwepo wa viwanda hivyo makusanyo ya kodi ni mengi ukigawa kwa idadi ya watu lazima gdp iwe kubwa.

Ila hali ya maisha ya mtu mmoja mmoja na uchumi wa familia nyingi mkoa wa pwani upo hoi.
Viwanda vingapi vinavyoubeba mkoa wa Pwani?

Hata kama ni Viwanda, je wilaya ngapi Hazina viwanda?

Ukiitoa Mkuranga na Kibaha ndio kwenye viwanda vingi na sehemu ndogo, kwa mbali Bagamoyo.

Vipi wilaya ya Kisarawe?
Vipi wilaya ya Kibiti?
Vipi wilaya ya Rufiji
Vipi wilaya ya Mafia?
Eneo kubwa la wilaya ya Bagamoyo?

Hivyo hoja yako ni mfu
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Ndo inavotakiwa hvo
😂😂😂😂
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Ni jambo jema, na uzuri swala zao hazichukui muda mwingi kihivyo kama masaa ni dakika kadhaa tu zinamalizika

Hivyo sioni kama inazuia mtu kufanya chochote au kujishughulisha na maendeleo. Pongezi kwao kwa kutambua kuwa kuna maisha baada ya kifo
 
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Kwani wewe ndiye unaowalisha wao na familia zao? Wameshawahi kukufuata kukutolea shida zao na kukuomba uwasaidie? Uwepo wa misikiti unakukwaza nini wewe? Je, wamekulazimisha ukaswali kwenye hiyo misikiti? Kisiju ipo miaka dahari hadi wewe uliyezaliwa juzi kati umeikuta. Ingekuwa hawafanyi kazi kama unavyosema mji huo ungekuwepo miaka yote hii? Acha chuki zako kwa Waislam hazitakusaidia chochote.
 
Soon tutaweka mission hapo kisiju ili kuwakomboa wafungwa na kuwafungua minyororo ya dhambi na kuwapatia wokovu,sema ameen.
Kiuhalisia ni ngumu kumfanya mkristo kuwa muislamu ila ni jambo gumu sana kumfanya muislamu awe mkristo unajua kwanini?
 
Back
Top Bottom