Kama hujui kitu tuliaKijisu ndiyo wapi huko ndani ndani.
Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju no tofauti Sana
Kusali sana hakuondoi umasikini.Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju no tofauti Sana
Ni kisiwa kipo huko kilwa kusini.Kijisu ndiyo wapi huko ndani ndani.
Acha shobo, fuata yako, ww una maendeleo gani? Ungekuwa Tajiri umefuta nn huko?Maendeleo yatakujaje na watu hawafanyi kazi? Kutwa kunawa tu
Kama hapajui asiulize?Kama hujui kitu tulia
Huyu Andrew123 Masawe ameenda Kijisu kuhesabu misikiti ya watu, sijui ana agenda gani.Kama hapajui asiulize?
Huu ndio mtaji wa ccmHapo ndipo waislam wanapokosea.
Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.
Allah hawezi kukuletea maendeleo ama kukusaidia kama wewe hujitumi.
Mfano israel anambonda mpalestina. Waislam wa nchi jirani na palestina na duniani wamebakia kusema Allah Akbar tu. Badala ya kushika mitutu kwenda kumsaidia mpalestina kupigana.
Hizi dini tulizoletewa ni myth tu
Mataifa ambayo hawaziabudu wala kusali ndio wenye maendeleo.
Maendeleo yamekuja sababu wanafanya kazi kwa bidii
Japan, korea na China hawamjui Yesu , mtume Muhammad wala Mungu ila wanaendelea kwa spidi.
Sasa kisiju watu wanashinda kwenye swala halafu wanataka maendeleo. Yanakujaje ?
wewe una utajiri gani kumzidi Bakhresa anayeswali swala tano?Hapo ndipo waislam wanapokosea.
Wanaamini sana imani yao kuliko uhalisia wa mambo.
Sali kabla haujasaliwa...huko pakwenda kutafuta mkeNipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Wewe una hela gani kumzidi Bakhresa?wewe una utajiri gani kumzidi Bakhresa anayeswali swala tano?
Kule hakufai kabisa. Pamesahaurika sana. Watu hawaendi shule, badala yake ni Madrasa, akipiga zake Madrasa miaka minne tayari ni msomi wa heshima.Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
wewe unataka watu wawe na chuki na watu wa Kilimanjaro, wawaombee njaa. Andrew na kisiju wapi na wapi? Mimi nipo kisiju pwani, wewe upo wapi?mnafik sana. Unafanya watu wachukie wachaga zaidi.Nipo Kisiju idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje? Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi na kulipa kodi. Hapa Kisiju ni tofauti Sana
Mimi naswali swala tano.Wewe una hela gani kumzidi Bakhresa?
Au nawe huna hela kisa huswali. Una maanisha Bakhresa hela kaipata kwa kuswali mara tano kwa siku?