Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

Afadhali ya mlevi hana madhara kwa wengine, mwenyewe akishalewa hatukani mtu anarudi nyumbani analala.

Kuliko wale wanaojifanya kuswali swala zote ilihali wanaharibu maisha ya watu.
 
Itamfaa nini mtu ikiwa atayapata yoooote ya ulimwengu, na aipoteze roho yake?!

Basi na uwe na kiasi katika kila jambo.

Na kika yote Muombe Mungu Akuondolee Ubatili, na Akupe sawa na mahitaji yako. Na kamwe asikupe utajiri mwingi, Wala umasikini usije ukafanya mabaya ukamkufuru Mungu.

Endeleeni kubarikiwa nyote.
 
Afadhali ya mlevi hana madhara kwa wengine, mwenyewe akishalewa hatukani mtu anarudi nyumbani analala.

Kuliko wale wanaojifanya kuswali swala zote ilihali wanaharibu maisha ya watu.
Kuharibu maisha ya watu kivipi? Hiyo ni dhana tu haina ukweli wa kisayansi.
 
du!!! mimi nilendaga mkuranga nikashangaa mno!!!!,,,yaani unakuta njemba ina kifua kama matako,laki limekaa juu ya benchi huku mbele yake kuna maembe kama matao juu ya meza likiuza!!....yaani ni kama trekta linalima bustani!!,,sehemu zilizotawaliwa na waarabuzina umaskini kupindukia,watu ni wavivu blaa!!,nenda tabora,pemba,unguja,tanga,mtwara,lindi,ikwiriri,mafia na mkuranga,,,utashangaa!!
 
Ukienda sehemu ukakuta wavaa kanzu na baibui na vikofia ujue hilo eneo masikini wa akili na kimaisha ni wengi...
 
Waarabu walituharibu sana watu wa Pwani tuliiga Kila kitu kutoka Kwa waarabu wenzetu hawafanyi kazi kwani shughuli nyingi wamewaajir wahindi na wazungu Kwakuwa wanahela za kutafuta na wengine za kurithi, sasa na sisi waswahili utakuta mtu anazunguka zunguka msikitini akusubir muda wa swala.
Unakuta wengine hata kukaa mbali na msikiti hawezi, jambo hili limetuletea umasikini mkubwa sana lakini Kuna faida pia kulingana na Dr. Eliona Kimaro kwamba ukiajiri waislam hawana tabia ya wizi lakini wakristo ni wezi sasa ndugu Andrew uchaguzi ni wako lakini huko Kisiju umewafuata waislamu kuwa na Adabu watu wapo kwenye maeneo yao waache kama walivyo.
 
Ni akili tu za Kipumbavu za Miafrika inayotaka kuvuna pasipo kupanda.

Nenda hapo Doha au Dubai uone Waarabu walivyo serious kubadili jangwa kuwa makimbilio.
 
Kisiju wapelekewe tuu juzuu na kanzu na majuba ya kutosha basiiii...nyie kaeni na maendeleo yenu
 
Umenipa Cha kukuuliza mkuu ...huko mifugo ni sehemu sahihi Kwa malisho na wizi haupo? Nahitaji kufuga pia
 
Mashallah. Kutafuta rizki ni ibada lakini pia kuna ibada za faradh lazima tuzipe umuhimu wake. Wewe mtoa mada sizani kama unafahamu faida za kusali swala za faradh kwa muumini.
swala bila kazi ? hv mnakosolewa akili huwa inawatoka kdg ?
 
Kuna watu tuna matatizo, ila mtoa mada katuzid sana. Hii naweza sema ana nafsi korofi haijui inataka nn kati ya jambo baya au zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…