jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi.
Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa.
Eneo hili ni eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu kabisa mkoani Arusha yaani mlima Meru na HUKU NDIO KUMELETA ULE MSEMO WA KITU CHA ARUSHA.
Tazama mkuu huyo wa Wilaya alivyokutana na machalii na madingilai wa R ChuGa