Kisimiri, Arusha: DC Muro afuatilia wakulima wa bangi usiku wa manane

Hiyo ni kutokujua majukumu ya nafasi hiyo.
Hata OCD hafanyi kazi hiyo.
Anapanga batallion na kuwaachia platoon commanders waendelee na kazi yeye anapewa taarifa za operation na kuwawezesha kufanya kazi.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Je hao ukatawo wapanga wakienda huko
Na wakipewa mlungula

Ova
 
Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi.
Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa.
Eneo hili ni Eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu kabisa mkoani Arusha yaani mlima meru.na HUKU NDIO KUMELETA ULE MSEMO WA KITU CHA ARUSHA.

Tazama mkuu huyo wa Wilaya alivyokutana na machalii na madingilai wa R ChuGa

View attachment 1764581
Mama Samia anatakiwa aachane na watafuta kiki kama huyu Muro. Huyu huyu Muro alionesha kuwa Magufuli ni mbaguzi hasa kwa Wachagga nashangaa leo unamshobokea
 
Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi.
Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa.
Eneo hili ni Eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu kabisa mkoani Arusha yaani mlima meru.na HUKU NDIO KUMELETA ULE MSEMO WA KITU CHA ARUSHA.

Tazama mkuu huyo wa Wilaya alivyokutana na machalii na madingilai wa R ChuGa

View attachment 1764581
Kupambana na bange ni Unafiki tu.

Polisi wengi wanavuta,

Askari wengi wa JWTZ wanavuta,

Wanasiasa wanavuta.
 
Upuuzi mtupu, amekuwa DC huko zaidi ya miaka minne sasa hajaweza kumaliza hilo suala, leo anajirekodi ili abaki kwenye list mpya ya maDC? Mwambie aache mbinu za kitoto. Mama aweke DC Mzanzibari kwenye hiyo wilaya.

Mkuu kuwa serious basi DC Mzanzibari Meru? Hii wilaya isikie tu,Muro mwenyewe hajaiweza
 
Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi.
Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa.
Eneo hili ni Eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu kabisa mkoani Arusha yaani mlima meru.na HUKU NDIO KUMELETA ULE MSEMO WA KITU CHA ARUSHA.

Tazama mkuu huyo wa Wilaya alivyokutana na machalii na madingilai wa R ChuGa

View attachment 1764581
Bangi haitamsaidia kitu
 
Mkuu kuwa serious basi DC Mzanzibari Meru? Hii wilaya isikie tu,Muro mwenyewe hajaiweza

Hutaiweza kama unaendekeza siasa za kiki. Sasa mkuu kwenye watu makini ndio unamtaja Muro?Au kwako mtu akitumia vitisho na nguvu nyingi kuliko akili ndio unamuona bonge la kiongozi?
 
hii ni tofauti kati ya mvulana na mwanaume
 
Back
Top Bottom