Kisimiri, Arusha: DC Muro afuatilia wakulima wa bangi usiku wa manane

Kisimiri, Arusha: DC Muro afuatilia wakulima wa bangi usiku wa manane

Muro mjanja kweli kweli,Mama Samia Sijui kama atachomoka hapa lazima awepomoted RC.
 
Mzoefu huyo babu[emoji23][emoji23]
Ashazoea mishindo kupigwa
Si umesikia anasema "wale wanaokamata bangi wamefika huko" babu kama anaongea kwa code[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Husi “judge base on the video”, ukitumia jicho la tatu, utaona babu ni mbuzi kafara tu. “It was a normal business”
 
Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi.

Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa.

Eneo hili ni eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu kabisa mkoani Arusha yaani mlima Meru na HUKU NDIO KUMELETA ULE MSEMO WA KITU CHA ARUSHA.

Tazama mkuu huyo wa Wilaya alivyokutana na machalii na madingilai wa R ChuGa

View attachment 1764581
DC anaacha mambo ya msingi anahangaika na dawa za kienyeji ! bangi ni dawa tu
 
Back
Top Bottom