Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Hiyo ni Sawa na kupiga punyeto, anajipa raha mwenyewe!Kaka kila kitu unafanya mwenyewe? Post na reply[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196]Hiyo ni Sawa na kupiga punyeto, anajipa raha mwenyewe!
Je hao ukatawo wapanga wakienda hukoHiyo ni kutokujua majukumu ya nafasi hiyo.
Hata OCD hafanyi kazi hiyo.
Anapanga batallion na kuwaachia platoon commanders waendelee na kazi yeye anapewa taarifa za operation na kuwawezesha kufanya kazi.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
Mama Samia anatakiwa aachane na watafuta kiki kama huyu Muro. Huyu huyu Muro alionesha kuwa Magufuli ni mbaguzi hasa kwa Wachagga nashangaa leo unamshobokeaIkimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi.
Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa.
Eneo hili ni Eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu kabisa mkoani Arusha yaani mlima meru.na HUKU NDIO KUMELETA ULE MSEMO WA KITU CHA ARUSHA.
Tazama mkuu huyo wa Wilaya alivyokutana na machalii na madingilai wa R ChuGa
View attachment 1764581
Sio yuko chini.. ni yuko juu kwa maa ndio mwenyeketi wa kamati ya ulinzi na usalama wilayaDc si yuko chini ya kamati ya ulinzi na usalama mzee
Ova
Kupambana na bange ni Unafiki tu.Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi.
Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa.
Eneo hili ni Eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu kabisa mkoani Arusha yaani mlima meru.na HUKU NDIO KUMELETA ULE MSEMO WA KITU CHA ARUSHA.
Tazama mkuu huyo wa Wilaya alivyokutana na machalii na madingilai wa R ChuGa
View attachment 1764581
[emoji3]nipe mfano hai..usiwe mfukama wewe kaka...nimeiga kwako
Ili kupata mfano hai hakuna shida fukua tuu[emoji3][emoji3][emoji3]unataka nifukue makaburi?
Upuuzi mtupu, amekuwa DC huko zaidi ya miaka minne sasa hajaweza kumaliza hilo suala, leo anajirekodi ili abaki kwenye list mpya ya maDC? Mwambie aache mbinu za kitoto. Mama aweke DC Mzanzibari kwenye hiyo wilaya.
Bangi haitamsaidia kituIkimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi.
Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa.
Eneo hili ni Eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu kabisa mkoani Arusha yaani mlima meru.na HUKU NDIO KUMELETA ULE MSEMO WA KITU CHA ARUSHA.
Tazama mkuu huyo wa Wilaya alivyokutana na machalii na madingilai wa R ChuGa
View attachment 1764581
Mkuu kuwa serious basi DC Mzanzibari Meru? Hii wilaya isikie tu,Muro mwenyewe hajaiweza
Mvulana amepanda ‘kichuguu’ tu anahema kama chura wa kiansi aliye pigwa na Azam?!!hii ni tofauti kati ya mvulana na mwanaume