KISIRANI KAINGILIA PENZI LA Chimbuvu NA Madame B

We mkongoman Chimbuvu nawe ulijiona ushafikaaa! Sa hizi ndio unatoka tongo tongo machoni!. Pole sana ila ndio ujifunze, Kino Clain sio Bukavu men!
Baba V Judgement Kipipi Mamndenyi na kamati zenu, tunaomba hatua zichukuliwe fasta juu ya Madame B na Ben Saanane, haiwezekani mtu atoke huko siasani na magwanda yake aje hapa kunyang'anya watu mke wao, hadi wengine wanalia? Mkishindwa kuchukua hatua stahiki ni bora tu msiwepo tumchague ummu kulthumu awe Mwenyekiti na aunde kamati mpya.
 
Last edited by a moderator:

Yaani we tulia tu! Na hivi siku mbili tatu hizi , kuna vidonge nameza na side effects yake vinanipa kiherehere! Nitasimamiaje kanuni !
Hapa haifungwi ndoa hadi Chimbuvu amesubmit divorce kwa hadhira iliyopo cc .
 
Last edited by a moderator:
Yaani we tulia tu! Na hivi siku mbili tatu hizi , kuna vidonge nameza na side effects yake vinanipa kiherehere! Nitasimamiaje kanuni !
Hapa haifungwi ndoa hadi Chimbuvu amesubmit divorce kwa hadhira iliyopo cc .

Inaelekea Chimbuvu kakubali yaishe,chezeiya wewe hela ya ruzuku wakati Chimbuvu ni mpiga tumba ngwasuma mpaka papaa msofe amtupie mia ndo akanunue msosi.
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha,waambie waandamane.Njoo kule siasani Chilli nikupe mmoja....hahaha Chimbuvu ananichafua mbaya na ametishia kuniloga
 
Last edited by a moderator:
Mchagueni tu. Mie kesi za humu zishanichosha!
 
Last edited by a moderator:
We acha tu yaani daaaah


 
Last edited by a moderator:

Relax dogo, mapenzi yana run dunia..., wakati Chimbuvu anapora hiyo siti toka kwa Ruttashobolwa alitokea wapi...!?' hakujua kwamba what goes round comes triangle ....
 
Last edited by a moderator:
Hata na wewe pia ?

Hii nimeitoa kwenye archive yangu, nikuletee nyingine..!???


Kwenda kwa:kamati kuu ya
mahusiano chitchat
copy: Baba V,
copy: Judgement , Mamndenyi
BADILI TABIA ,

yah:kutokua na imani na
mwenyekiti wa mahusiano
chitchat Baba V .

Rejea kichwa cha habari hapo juu
chahusika,nikiwa pamoja na
mwenzi wangu madame
B,tunasikitika kutokana na tabia
ama kauli za kidikteta anazozileta
mwenyekiti kwa kuona yupo juu
ya sheria.mojawapo ya baadhi ya
sababu zinazotupa wasiwasi ni
kama zifuatazo,
1.toka tumetangaza tuna
mahusiano,amekuwa mstari wa
mbele kutaka kuvuruga ama
kuuvunja uhusiano wetu na
Madame B ,kwa kuzusha tuhuma
mbalimbali,
2.amekuwa ana nia ya kuvunja
mahusiano na sio kusuluhisha
kwa kuwa anakuja katika
usuluhishi akiwa na jibu na
uamuzi tayari
3.toka ameanza kutufuatilia
tumeshindwa kuelewa ni yeye
ndiye anayeleta malalamiko akidai
ameletewa na mtu anayejiita
Ruttashobolwa,ilhali hatujawahi
kuona huyo mtu akitamka
hadharani
4:mwenzi wangu Madame B
alishatamka kuwa hamtaki na
wala hampendi mtu anayejiita
Ruttashobolwa lakini mwenyekiti
amejifanya kama hakuona hiyo
statement
5.sababu inayotupa mashaka ni
kuwa barua niliyoituma katika
kamati ya screening ameidharau
na amewadharau wanakamati
hiyo kwa kuwa hakusubiri wakae
kikao na kuamua kujichukulia
hatua mikononi kwa kujiona yupo
juu ya sheria
ninaomba kuupitia kamati hii
mwenyekiti aweke vithibitisho
vifuatavyo,malalamiko ya ndugu
Ruttashobolwa,na taarifa rasmi
aliyoletewa na kamati ya
screening kama anavyojaribu
kuuhadaa umma wa wanachitchat
watuone sisi ni wabaya.
Pia kwa muonekano dhahiri
inaonyesha kuwa mwenyekiti
Baba V anamtaka mwandani
wangu Madame B ndio maana
ananishinikiza niutangazie umma
kwamba nimemuacha ili
nikishatangaza yeye apate sababu
ya kimaandishi ya kutumia ili
yeye ampate janja yake
tumeishtukia.
Na swali analotakiwa kujibu baba
V ni ndoa ipi ambayo mwanaume
hajui mke wake analala
wapi,anavaa nini,anakula nini kwa
muda mrefu?kwa sababu anajua
fika ktk umri alionao bado anakaa
kwa wazazi na alimuona madame
B anakaa katika nyumba yeye
mwenyewe ameona atumie huo
mwanya ili akaishi na mwandani
wangu.
Ndugu wanakamati,mpenzi wangu
Madame B sikumfuata katika
nyumba ya mtu anayejiita
Ruttashobolwa la,bali nilimkuta
katika nyumba moja yeye
mwenyewe na ndipo nilipomwaga
sera zangu naye akazikubali,.
Kutokana na hayo machache
naomba kamati iitishe kikao cha
dharula kuangalia mwenendo
mzima wa mwenyekiti kwa kuwa
kila dalili inaonyesha kuna
mchezo mchafu unafanyika na
ambao wanaujua ni Baba V na
Ruttashobolwa.HAKI IPO WAPI
KAMA NA MWENYEKITI ANAANZA
KUZENGEA WACHUMBA WETU,JE
KWA WASIO NA UWEZO
WATASALIMIKA?
Asanteni
Chimbuvu & Madame B
 
Last edited by a moderator:
Baba V hapo unaonyesha udhaifu wa uongozi wako
1.kuchekelea matatizo ya watu bila kutoa uamuzi
2.kuweka kinyongo kwa mambo yaliyopita
3.ushkaji umeuweka mbele badala ya kuchukua hatua kama kiongozi,kwa kuangalia nani anakutoa cha juu na kujaza akaunti zako uswisi ndie unaemtetea na kuwa mkali kama mbogo,rejea vipingamizi ulivyokuwa unaniwekea na sasa unavyoshabikia
4.na katika uongozi wako imeonekana kuwa kuna watu wachache wanajilimbikizia mali za umma na wewe unachekacheka
5.kutokana na hayo,wewe ni kiongozi dhaifu je huoni kuwa unastahili kuachia ngazi na kuwaachia wanaoweza kuongoza?VUA GAMBA VAA GWANDA M4DC(movement for developing CC)
 
Last edited by a moderator:
Relax dogo, mapenzi yana run dunia..., wakati Chimbuvu anapora hiyo siti toka kwa Ruttashobolwa alitokea wapi...!?' hakujua kwamba what goes round comes triangle ....

huu ni udhaifu mkubwa,ni sawa na kusema Rais asihudumie wilaya eti kwa sababu kuna mbunge wa upinzani.
utake radhi umma wa wana CC udhaifu huu
 
huu ni udhaifu mkubwa,ni sawa na kusema Rais asihudumie wilaya eti kwa sababu kuna mbunge wa upinzani.
utake radhi umma wa wana CC udhaifu huu

Leo mimi ntakuwatnakusaidia kuweka kumbukumbu sahihi ili ujue nilikuwa namaanisha nini wakati ule unamchukua kwa mbwembwe Madame B toka kwa rutta. Ben saa nane nae angalizo kwake..


Kwenda kwa: mwenyekiti
mahusiano Baba V
kk:sreening committee

yah:masikitiko makubwa
Kwa masikitiko makubwa
nimepokea taarifa kutoka kwa
mwenyekiti kuhusu uhusiano wa
Ruttashobolwa kuvunjika
rasmi,nikiwa kama mwanachitchat
nimesikitishwa na tukio hilo.
Napenda kumpa pole ndugu
Ruttashobolwa kwa yote
yaliyomkuta,pia kama
wanachitchat tuchukulie hili tukio
sio kwa upande mmoja bali iwe
kama fundisho kwa wote kwa
kuangalia makosa yaliyotendeka
nasi katika mahusiano yetu na
ndoa zetu hapa chitchat ziweze
kudumu na zisirudie makosa na
chitchat iwe sehemu nzuri ya
kifamilia na kulea watoto vizuri
kama C6, charminglady na
mtoto wao pekee tedo , Baba V
na Mama v na mtoto wao Chilli.
Asanteni sana.
Chimbuvu & Madame B
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…