KISIRANI KAINGILIA PENZI LA Chimbuvu NA Madame B

KISIRANI KAINGILIA PENZI LA Chimbuvu NA Madame B

Chimbuvu hapa unavunga tu Madame B alikwambia mrudishie gharama zake ule time yako
ndo nini kumharibia tena kwa Ben Saanane?.

Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo

ah sikujua mapenzi balaa, tena ni maradhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha, yanajenga chuki na choyo kisa Madame B
utu wangu na thamani, ina maana kweli Madame B hakuvijua
licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Uhuni jaa burudani mtaani, akaamua kutimua
Inaniuma sana

Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo [...mhh mawazo]
Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo [....mmh kikwazo]
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo [.nipunguze mawazo.]
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo [...nna mawazo]

Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo

Yule kisirani Ben Saanane kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani naumia, nalia na moyo wangu
Ona kisirani Ben Saanane kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani..... mwenzenu nalia na moyo wangu!

kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia
kweli wapendanao ndo maadui zikitimia
lile tinga langu la maraha Madame B, leo limekuwa sumu kwangu
ona tena sina raha, ninacheka nnalia na moyo wangu

Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo

Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo


utu wangu na thamani, ina maana kweli Madame B hakuvijua
licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
 
Last edited by a moderator:
wanawake wanasiasa wakali na wakorofi sana na wanapiga kila kitu hata haki ya 6by6 mpaka ajisikie yeye na ukitoka out side anakuundia tume.bora tafuta new comer tena anakuwa bado teketeke unamkomaza mwenyewe si eti eeeeeeeeh!

Ha ha ha ummu kulthumu ni kweli ila nitampa maujuzi ya kukabiliana nao......
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Leo mimi ntakuwatnakusaidia kuweka kumbukumbu sahihi ili ujue nilikuwa namaanisha nini wakati ule unamchukua kwa mbwembwe Madame B toka kwa rutta. Ben saa nane nae angalizo kwake..


Kwenda kwa: mwenyekiti
mahusiano Baba V
kk:sreening committee

yah:masikitiko makubwa
Kwa masikitiko makubwa
nimepokea taarifa kutoka kwa
mwenyekiti kuhusu uhusiano wa
Ruttashobolwa kuvunjika
rasmi,nikiwa kama mwanachitchat
nimesikitishwa na tukio hilo.
Napenda kumpa pole ndugu
Ruttashobolwa kwa yote
yaliyomkuta,pia kama
wanachitchat tuchukulie hili tukio
sio kwa upande mmoja bali iwe
kama fundisho kwa wote kwa
kuangalia makosa yaliyotendeka
nasi katika mahusiano yetu na
ndoa zetu hapa chitchat ziweze
kudumu na zisirudie makosa na
chitchat iwe sehemu nzuri ya
kifamilia na kulea watoto vizuri
kama C6, charminglady na
mtoto wao pekee tedo , Baba V
na Mama v na mtoto wao Chilli.
Asanteni sana.
Chimbuvu & Madame B

Baba V acha kunikumbusha zeleu za huyu mkongoman! Alikua na zeleu sana, leo wapi? Nauliza leo waaaaapi? Chezea Kino wewe??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom