Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Kutoka afisi kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar ndugu katibu mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole anaongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kampeni za wagombea kuanzia ngazi ya Urais mpaka udiwani. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri.
========
Polepole: Kesho October 03 2020 katika Viwanja vya Mnazi mmoja Zanzibar tuna jambo letu, tutakuwa na Mkutano mkubwa wa Kampeni, JPM ataunguruma kutoka hapa, kiufupi Zanzibar itasimama
Tangu mwaka 1995 Zanzibar anaegombea ni babu madevu ,2020 babu madevu hata 2025 Mgombea atakuwa huyo huyo babu madevu,ina maana humo kwenye taasisi hakuna Vijana wenye fikra za uongozi?
Dkt. Mwinyi unaweza kumlinganisha na huyu Babu yenu? Alishaondoka zake CCM sisi hatumhitaji, alikwama hapa akapewa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais. Juzi alipokwenda kuchukua fomu wafuasi wake wanasema piga, ua na yeye anasikia tu bila kuwakemea.