Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hana ndevu huyo maalim?nimesikia leo jina kama mzee madevu
Huyu akiwa mtoto mdogo ni lazima aliwahi kupatwa maradhi ya kwashakoo ama malasimasi kutoka na lishe duni. Maradhi ambayo yanameathiri kwa kiasi kikubwa sehemu ya ubongo wake.Katibu wa itikadi na uenezi CCM ndugu polepole kuwa na heshima , kumuita majina ya kejeli na kumtusi mzee maalim seif si uungwana.
Tatizo la kujiamini kwa sababu unalindwa na dola.Katibu wa itikadi na uenezi CCM ndugu polepole kuwa na heshima , kumuita majina ya kejeli na kumtusi mzee maalim seif si uungwana.
Uso mkavu kama majani ya mknaziKatibu wa itikadi na uenezi CCM ndugu polepole kuwa na heshima , kumuita majina ya kejeli na kumtusi mzee maalim seif si uungwana.
Kama unaona mimba ni mzigo katoe, kila siku unatuletea kichefuchefu humu?Sasa hana ndevu huyo maalim?
Mzee wako asingewezaLissu ana heshima? Acheni doublestandards Bavichwa
Nasikiaga ata aibu kuangalia press zao, hata kampeni za mgombea wao huku bara zinaniachaga mdomo wazi kwa mshangao kutokana na ayaongeayo, sileti maji mkichagua wale!!!! Kwamba nimewabembeleza sana na hii ndio mara yangu ya mwisho kuwaomba!!!! Hili ni ombi au ni shuruti?Tafuta press aliyoifanya Leo uitizame.
Kumbe tupo wengiHivi Polepole ni mzee au kijana. Muonekano wake yupo kama msukule, hata huwa simuelewi.
Asante naunga mkonoJiwe tukimuita bichwa msikasirike
Wewe mwenyewe huna heshima kuingilia mijadala ya wanaume wakati ulitakiwa uwepo jikoni ukimpikia mataptap huyo slow slow hapo Lumumba.Sasa hana ndevu huyo maalim?
Lissu ana heshima? Acheni doublestandards Bavichwa
Huyo ni "lubricant".Jimama nene jirani na Polepole ni nani?
Ulikuwa unafuatilia nini wewe mnafiki?Asante, tunafuatilia kwa makini
P