Uchaguzi 2020 Kisiwandui, Zanzibar: Mkutano wa Humphrey Polepole na waandishi wa habari

Uchaguzi 2020 Kisiwandui, Zanzibar: Mkutano wa Humphrey Polepole na waandishi wa habari

Kwa hiyo nikijua ndio itapunguza bei za ndege?
Usitamani vitu usivyokuwa na uwezo wako.Panda Bus au Treni.Hizo ndio saizi yako kwanza unataka kupanda ndege unakimbilia nini? Kama una biashara hutaoona hasara ya kulipa laki tatu
 
Kuna lijimama hapo limejishibia kweli.Likilala usiku ni kukoroma tu🤣🤣🤣
 
Huyo muuliza swali ana akili sana kuliko Polepole.Nguvu zilitoshana Sana Kati Shein na Maalim
Polepole anajibu:Kipindi kile eti CCM walizinguana Sana.Ati sasa watamshinda Maalim
 
Usitamani vitu usivyokuwa na uwezo wako.Panda Bus au Treni.Hizo ndio saizi yako kwanza unataka kupanda ndege unakimbilia nini? Kama una biashara hutaoona hasara ya kulipa laki tatu
Huna akili,kwani ndege ni kwa ajili ya wenye uwezo au wafanya biashara? Nini maana ya shirika la umma? Sio kutoa huduma kwa wananchi,son of gun.
 
Wajiandae tu kutoa hela za mafuta kwa vijana, mbona Zanzibar itasimama. Watu wanakula mafuta ya bure, na kura hawapigi...
 
Kutoka afisi kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar ndugu katibu mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole anaongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kampeni za wagombea kuanzia ngazi ya Urais mpaka udiwani. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri...
Mkuu,
Katika hilo jambo lenu, msisahau kukumbushana na hivi vijijambo vyenu vya kuchakachua uchaguzi kama mnavoviaona kwenye linki hii hapa chini:

nimesikia leo jina kama mzee madevu
 
Huna akili,kwani ndege ni kwa ajili ya wenye uwezo au wafanya biashara? Nini maana ya shirika la umma? Sio kutoa huduma kwa wananchi,son of gun.

Ili wakipata hasara useme hajui kuendesha.huduma za kijamii ni maji, shule na afya.nyingine ni ni luxury na sio za wote.nyie kapuku kapandeni Treni
 
Back
Top Bottom