KISONGO: Maelfu wakanyagana wakitaka kumwona Rais Samia Suluhu yeye awaombea kwa Mungu na kuwaahidi makubwa

Hao watoto mmewajaza hapo ili kuhadaa umma. Kuna mtu anayejitambua ataenda kukanyagana kwa ajili ya mtu aliyesema watu wanapenda vitu vya bure, huku yeye akiwa anapata huduma zote bure kupiga domo majukwaani?
 
Watu choka mbaya hapo asilimia 90 wanashinda njaaa, na hii ni.katika nchi huru na tajiri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…