Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni nyuso yenye furaha hapo.View attachment 2429194
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.
View attachment 2429196
Mama Chapa kazi Mama tuko na WeweView attachment 2429194
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.
View attachment 2429196
angalia vizuriSioni nyuso yenye furaha hapo.
Mzee shida imerudi pale paleKumbe ndiyo maana wamekata umeme kwa kuwa rais amesepa.
Na lazima wafidie.Mzee shida imerudi pale pale
Huna akili kabisa
Kwani dhalimu wako huyo?Hao watoto mmewajaza hapo ili kuhadaa umma. Kuna mtu anayejitambua ataenda kukanyagana kwa ajili ya mtu aliyesema watu wanapenda vitu vya bure, huku yeye akiwa anapata huduma zote bure kupiga domo majukwaani?
Wwe Jamaa unyumbu umekuzidi sanaChawa jitahidi kuvumilia ukweli.
Wwe Jamaa unyumbu umekuzidi sana
Maajabu gani Umeyapata?Hii Nchi inazidi tu kuwa ngumu kila kukicha. Maajabu nayo hayaishi!! Yaani ni tabu tupu.
Wamekanyahana kimoyo moyoWamekanyagana wapi
Mpaka tuone maiti kama kwa Mwamposa Moshi ndipo tutakapo aminiView attachment 2429194
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.
View attachment 2429196
Utakufa kwa stress kijana hadi 2030Wote wana huzuni kuu.