KISONGO: Maelfu wakanyagana wakitaka kumwona Rais Samia Suluhu yeye awaombea kwa Mungu na kuwaahidi makubwa

Hao watoto mmewajaza hapo ili kuhadaa umma. Kuna mtu anayejitambua ataenda kukanyagana kwa ajili ya mtu aliyesema watu wanapenda vitu vya bure, huku yeye akiwa anapata huduma zote bure kupiga domo majukwaani?
Watu wapo wengi na picha inaonesha halafu wewe unapinga! Nikutukane?
 
Kwanini watoto sio watu? Au ww chawa ndio ulipewa hela kwenda kukusanya watu na malori, hivyo unaona itakuwa noma siri ikifichuka?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.
Ingesaidia sana kama ungeeleza alichowafanyia hawa watu hadi wakataka kukanyagana. Hilo ndilo la mhimu zaidi ya hizi stori za kusadikika.
 
View attachment 2429194
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.

View attachment 2429196
Hivi Rais Kagame ( Genius ) wa Rwanda alimwambia kwa Dharau Rais Mpuuzi na Juha wa nchi gani Afrika Mashariki kuwa anaongoza Maiti tupu?
 
View attachment 2429194
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.

View attachment 2429196
Watakwambia Rais Samia hakubaliki Mara Ni picha za kuunga unga and such upuuzi wa haters..

Mkoa Kama Arusha umenufaika na kufunguka kwa fursa za Utalii na biashara na Kenya pia na handling ya kuungwana ya kuhamisha Masai.
 
Back
Top Bottom