KISONGO: Maelfu wakanyagana wakitaka kumwona Rais Samia Suluhu yeye awaombea kwa Mungu na kuwaahidi makubwa

KISONGO: Maelfu wakanyagana wakitaka kumwona Rais Samia Suluhu yeye awaombea kwa Mungu na kuwaahidi makubwa

Kwa Mji mdogo wa Kisongo hao ni Watu wengi mnyonge mnyongeni.
 
Hata JPM alikuwepo!
Ila hakuendelea kuwepo, alishindwa ushirikiano.
Mwenyewe alisema hashauriki, yaliyompata yamempata.
Bongo nzuri sana, watu watakuchekea na kukuibia sifa hadi mabega yanashindwa kubeba kichwa.
Lakini hao hao wanakutenda.
 
View attachment 2429194
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa Kisongo Wilaya ya Arumeru Magharibi alipokuwa njiani akirejea mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.

View attachment 2429196
Hawa watoto kwa nini wanatumiwa bila ridhaa yao!!??
Hao ni chini ya miaka 18,uwepo wao hapo ni sawa na utumwa.
 
Back
Top Bottom