KISONGO: Maelfu wakanyagana wakitaka kumwona Rais Samia Suluhu yeye awaombea kwa Mungu na kuwaahidi makubwa

acha fix, wananchi wameenda kushangaa magari ya kifahari V8 kwa karibu. 🙂
 
Kwa Mji mdogo wa Kisongo hao ni Watu wengi mnyonge mnyongeni.
 
Hata JPM alikuwepo!
Ila hakuendelea kuwepo, alishindwa ushirikiano.
Mwenyewe alisema hashauriki, yaliyompata yamempata.
Bongo nzuri sana, watu watakuchekea na kukuibia sifa hadi mabega yanashindwa kubeba kichwa.
Lakini hao hao wanakutenda.
 
Hawa watoto kwa nini wanatumiwa bila ridhaa yao!!??
Hao ni chini ya miaka 18,uwepo wao hapo ni sawa na utumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…