Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Tunalemewa nn unaleta tu takataka... Leta tu jengo mojamoja coz kwenye aerial mnatia tu aibu...Walikua Nairobi wakalemewa, wakaenda Mombasa wakatoroka sahii wako kisumu wanafunga virago. Aty Mwanza is the second town of Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha tumekuwekea zile barabara umekimbia... Leta za kisumu basiKisha utakuta mtu hapa anajipiga kifua eti mwanza ni city[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipi...au unamaanisha zile service lane za 100m longHaha tumekuwekea zile barabara umekimbia... Leta za kisumu basi
Unateseka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama 2004 kisumu ilikuwa na watu laki 5 halafu 60 percent ya population yake wanaishi kwenye slums, vipi kuhusu sasa hivi ambapo population ya wakazi imeongezeka zaidi [emoji23][emoji23][emoji23] hapo si population ya wanaoishi kwenye slums imeongezeka zaidi.
Kw battle dar mkiletewa aerial mnakimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunalemewa nn unaleta tu takataka... Leta tu jengo mojamoja coz kwenye aerial mnatia tu aibu...
Unateseka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leta hyo ripoti ya 2019, au unaogopa..
Halafu nenda ukaangalie umaskini kenya 2004 halafu ulinganishe na sasa...
Usisahau kutafuta data za 2000 ili uwaletee vibwengo wenzio ziwapumbaze nyoyo zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubishana na wewe ni kazi bure... Unakisia tu... Wewe na yule mwenzio mnapotezea watu muda tu..Kw battle dar mkiletewa aerial mnakimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Majengo kadhaa yameletwa mwenzako akakimbia...lkn kinachonishangaza mwanza, mtu akiambiwa alete jengo refu huleta ile hoteli, barabara mnaleta ile moja, malls mnaleta ile moja, estates mnatuletea zile nyumba law quality...hzo nyumba mnaleta kwanza sidhani km zinaweza kugharimu hata ksh 1m
Sent using Jamii Forums mobile app
unajifariji, but you know that Mwanza can be compared only with Mombasa out of Nairobi.
Wajinga wa kikunya hiyo slum inaitwaje,Washenzi wa kidanganyika wamegundua their Mwanza slum stands no chance against our third largest wamekimbia wakaleta picha za Kibera.We know you evil Albino devourers.We know you.
Kumbe mwanza mabatini.... Mabatini pekee inaishinda kisiiMwanza has been beaten hands down by Kisumu,Nakuru,Eldoretβ¦.It can only compete with Thika ,Malindi and Kisiiβ¦.Hizo ndio ligi za Mwanza Mabatini
Mwanza is a slum doesn't deserve city statusKumbe mwanza mabatini.... Mabatini pekee inaishinda kisii
If mwanza doesn't deserve to be a city then kisumu ni takatakaMwanza is a slum doesn't deserve city status
service road ya 100m mkuu uko serious apa au tusema umesema tu randomly
That means grinding poverty in Nairobi grows at the same pace.2004 ilikuwa na watu laki 5 huku 60 percent wakiishi kwenye slums,
2019 ilikuwa na watu laki 8 kasoro [emoji23][emoji23][emoji23] na hapa wanaoishi kwenye slums waliongezeka maradufu,
Usisahau pia kenya inaongoza kwa ukuaji wa slums.View attachment 1321226
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha anachekesha sana huyo... Sio kosa lake ila.service road ya 100m mkuu uko serious apa au tusema umesema tu randomly
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ni zaidi ya hiyo,
hahah service road ya 100 m nimebaki nachekaHaha anachekesha sana huyo... Sio kosa lake ila.
Mwanza hamna six lane, ni two lanes halafu kuna mahalai mmeongezea service lane km 100m hivi..service road ya 100m mkuu uko serious apa au tusema umesema tu randomly
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema uongo kati ya hayo yote..Kubishana na wewe ni kazi bure... Unakisia tu... Wewe na yule mwenzio mnapotezea watu muda tu..