ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Acheni ujinga nyie,Mbeya is city it is gradually catching up city civilization in all life arenas not as it used to be na i love the town sio lazima iwe kama zenu
Si mnazo estates huko?
Hapo ulipoweka supermarket/mall unamaanisha nn...?Acheni ujinga nyie,Mbeya is city it is gradually catching up city civilization in all life arenas not as it used to be na i love the town sio lazima iwe kama zenu
Zamani kulikuwa hakuna hata majengo marefu hadi tukaweka sherehe za uzinduzi wa rift kwenye jengo moja na la kwanza kwa mbeya kuwa na lift 6floors lakini kwa sasa tuna majengo 2 yenye 10 floors na mengine uncountable ya 4 to 6 floors hamuoni hayo ni maendeleo? Tumepata hadi supermarket/mall 1 sasa so msitudharau maaana we are developing,the mbeya u knew 5 yrs ago is quite different from present one
Endelea na mishe zako
emu soma post yangu uielewe boss estates nilizobase hapa ni za viwanja na wingi wa estate hizo na wananchi wanavonunua ila kujenga inaweza chukua miaka 4 ndio ukaja ukaona manufaa ya estate dealers kuwepo wengi sasa ukiniambia picha za estates me nnatolea wp drone ya kwenda kupiga maeneo yaliyopimwa yenye karibia heka 70 ili nkutumie au unataka je mkuu?Si mnazo estates huko?
mhh apo kwenye mall mkuu au supermarket naomba nielekeze iko wpAcheni ujinga nyie,Mbeya is city it is gradually catching up city civilization in all life arenas not as it used to be na i love the town sio lazima iwe kama zenu
Zamani kulikuwa hakuna hata majengo marefu hadi tukaweka sherehe za uzinduzi wa rift kwenye jengo moja na la kwanza kwa mbeya kuwa na lift 6floors lakini kwa sasa tuna majengo 2 yenye 10 floors na mengine uncountable ya 4 to 6 floors hamuoni hayo ni maendeleo? Tumepata hadi supermarket/mall 1 sasa so msitudharau maaana we are developing,the mbeya u knew 5 yrs ago is quite different from present one
point hiiThe like ya mtu una urgue nae humu ni uzao wa ccm huwa hawakubali ukweli,nimesema kwa cbd mwanza iko vizuri lakini kwa factors zingine kama ulivyotaja hapo juu Kisumu ni zaidi na ina deserve city status kuliko mwanza maana city sio tu cbd kama hiyo ni case Iringa iwe city coz cbd yake iko covered na majengo marefu
Kumbe viwanja... Alright.emu soma post yangu uielewe boss estates nilizobase hapa ni za viwanja na wingi wa estate hizo na wananchi wanavonunua ila kujenga inaweza chukua miaka 4 ndio ukaja ukaona manufaa ya estate dealers kuwepo wengi sasa ukiniambia picha za estates me nnatolea wp drone ya kwenda kupiga maeneo yaliyopimwa yenye karibia heka 70 ili nkutumie au unataka je mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha usenge hii ni picha ya slums za mbeya ambazo hata huko Kisumu ziko lundo kenge wewe,kwanii Mbeya yote iko hivyo?Ati. Mbeya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii Uchafu inakaa Genocide ndio unataka kulinganisha na Kisumu City.
#Mbeya vs Mwanza airport [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1320755View attachment 1320756
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu huu upuuzi nimeanza kuona maeneo mengi ya miji ya Tzn yaani wakiona traffic inakuwa kubwa wana damp vifusi pembeni ya barabara wana apply mechanical means then wana mwanga lami nyepesi na makokoto et tayari lami then wanafanya markings at ndo tayari wamepanua roads vi mita kadhaaMwanza hamna six lane, ni two lanes halafu kuna mahalai mmeongezea service lane km 100m hivi..
Kadanganye wajinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta jukwaa la Dar vs Nai utaikuta huko au google mhandisi house itakuja
Kaka ndio head office kwa tz au...?Sales Office - Sandvik Mining Tanzania
PHONE+255 28 257 0779FAX+255 28 257 0774
EMAILSend a message
ADDRESS
Block KK, Plot 18A
Nyakato Temeke
Mwanza
Show map
yap!Kaka ndio head office kwa tz au...?
Chelewa ufike,panachekesha saizi ila serikali ikimaliza huko mnakoshindana resources zitaelekezwa hukotayari washajenga nanenane yani mbeya ukweli usemwe pako kama pana sahaulika na pia vijana wakishakua kidogo wanakimbilia miji mingine unakuta hata uwekezaji huku ni mdogo tu sio wa kutisha japo panajengeka ila bado mbeya kwenye majengo na barabara wanachelewa na nnaongea ivo maana nimekaa mbeya huu mwaka wa tatu sioni progress za kushtua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatua nzur sana... Not everything in Dar es salaam.yap!
bypus ndo nini?Chelewa ufike,panachekesha saizi ila serikali ikimaliza huko mnakoshindana resources zitaelekezwa huko
Nanenane hakuna kilichojengwa zaidi ya stend ya daladala na uwanja wa maonyesho lakini lile eneo la chuo cha kilimo loote litakuwa makazi ya watu,biashara na taasisi litaficha slums zote za mbeya..
Barabara ya kuanzia mbeya/uyole hadi Tunduma itakuwa dual carriage itabadili sura ya miundombinu ya mbeya,mradi unaendelea kwa sasa umeishia igawa
Mbeya bypus kuanzia uyole hadi mbalizi itaondoa malori mjini,pia kuna barabara inafanyiwa usanifu kuanzia mjini/sokomatola all the way to uyole via isyesye ko wait ni suala la mda tuu bila kusahau ile iwambi yote ilipo minara ya tbc ni eneo la kujenga sattelite city
Mwisho kuanzia songwe hadi ifisi opposite na iirport kuna project ya mji mpya pia so mambo mazuri yako mbele,Mbeya mnayoijua haitakuwa hii mnayopondea sasa
namaanisha kuna shopping mall moja inaitwa tughimbeHapo ulipoweka supermarket/mall unamaanisha nn...?
Ofcouse Mwanza is more close to major mining centers hence having many mining related activities including international laboratories and mining equipment firms just like Arusha more close to many most famous touristic attractions hence more leasure places including hotels and restaurants!Hatua nzur sana... Not everything in Dar es salaam.