Kisumu vs Mwanza

ona.. kenya ina ngaa usiku shinda tzView attachment 1773970
hili ndilo sababu kuu
.. hata hizi miji inayochukuliwa kama medium-size hapa kenya, ingepelekwa tz, ingevuruga miji za huko. naongelea miji kama, kericho, kitale, meru, nyeri, machakos, thika, kisii, naivasha, malindi etc.. kwa mfano my hometown of kericho, inayo orodheshwa kama mji nambari12 kwa ukubwa, nimejaribu kuilinganisha na miji za kadri za tz, lakini bado sijaona ya kuilinganisha nayo. kericho iko ligi yake mazee.. hii 👇hapa kericho kwa ufupi


👇Green Square Mall, kericho.

👇Simba Gate Mall, kericho.

👇tea estates, kericho town in the backgroundwazungu wameuteka mji huu kweli,.. British companies kama vile, Williamson Tea, Finlays Tea, Brooke Bond.. majina ni mengi tu.. huu, kidogo ni mji wa asili nyingi tu

👇Automobile Industry in kericho

👇Sacred Hearts Cathedral, Kericho. The second largest Cathedral in kenya only after Don Bosco Cathedral in Nairobi

👇Guru Nanak, kericho.. the largest Sikh Temple in kenya!

👇Kericho Interchange on course, under construction by SBI International Co.Dpresident. hivo tu ndo kunaendaga.. usikonde.. kenya ni kenya tu, hata uende pembe gani..
 
Hawa ni mijisifa hewa tu, ni kelele wamependa sana but they have a long way to go!😂😂😂., Dar pekee ndio mji wa maana Tz., Mombasa inaipumulia kwa kisogo.,
 
“Binafsi huwa nashangazwa sana na wale ambao wanadhani kuwa eti Kenya na Tanzania ni washindani na kwamba uhusiano wetu unapaswa kuwa wa kukamiana na mbaya zaidi ni kule kuamini kwao kwamba hilo linawezekana tu mmoja wetu kumwangusha mwenzake”———Rais Samia Bungeni Kenya leo

“Watu (wanaoamini Tanzania na Kenya ni Washindani) ni wenye choyo, maono mafupi na akili mbovu, bahati mbaya Watu hawa wapo kwenye pande zote Kenya na Tanzania na wapo ambao wapo kwenye Serikali zetu na Wanasiasa, bahati nzuri sio wengi ndio maana uhusiano wetu unadumu”———Rais Samia

“Kwa yeyote anayefikiria kuleta uhasama baina yetu, ujumbe wangu kwao ni kwamba Tanzania na Kenya, tulikuwepo, tupo na tutaendelea kuwepo, iwe kiangazi iwe masika Tanzania na Kenya tutaendelea kuwepo”———Rais Samia

“Badala ya kunyang’anyana Watalii tuongeze vivutio vyetu vitakavyomfanya Mtalii aongeze siku za kukaa Kenya na Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kusema; tukipoteza muda mwingi kugawana kibaba tutapoteza muda mzuri wa kuvuna kikubwa” ———Rais Samia
#MillardAyoUPDATES
 
Hongera sana naona kagorofa kenu kamekamilika na umeamua kutulingishia[emoji23][emoji23][emoji23]asante tumekaona ila poleni inaonekana mmekajenga kwa shida sana maana umekapost toka 2019 saizi ndo kanakamilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na nyinyi mko na gorofa gani kama sio hizo Mawe mnaita rock city. Interchange ni moja Tanzania na iko Dar[emoji23] na mnaita Mwanza Jiji la Pili Tanzania. Kenya iku juu View attachment 1777204
 
Hongera sana naona kagorofa kenu kamekamilika na umeamua kutulingishia😂😂😂asante tumekaona ila poleni inaonekana mmekajenga kwa shida sana maana umekapost toka 2019 saizi ndo kanakamilika😂😂😂😂
2019wapi... niulize mimi mtu hata sitoki kisumu. hii project, ground breaking nili witness mimi last year around August. hata mwaka haija zama.. uwivu wako peleka chini ya bahari hindi. na hata ivo.. mna ghorofa ngapi zaidi ya 9, mle mwanza??. nimepata kuona tu ☝kamoja! alafu mtu anakuja akijivuna hapa
 
Hongera sana naona kagorofa kenu kamekamilika na umeamua kutulingishia😂😂😂asante tumekaona ila poleni inaonekana mmekajenga kwa shida sana maana umekapost toka 2019 saizi ndo kanakamilika😂😂😂😂
😂😂😂
 
Angalau ungecompare na Mombasa, na sio kisumu mkuu.


Alafu anakuja mtu hapa kuicompare Mwanza na kijiArusha.
 
Angalau ungecompare na Mombasa, na sio kisumu mkuu.


Alafu anakuja mtu hapa kuicompare Mwanza na kijiArusha.
tu ndo nimegundua waTzii hawana uzalendo hata kidogo. wao watapigana vita baina yao wenyewe. watazilinganisha gani zaidi kati za miji zao wenyewe..🤔🤔

kenya tuko na uzalendo kiasi cha aja. miji zote tunazichukua kama ya kila mkenya, hata kama hautoki huko.. yatafakari hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…