Kisumu vs Mwanza

πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚I love drone, ina expose how Tanzania looks like better than vipicha.,
Haya basi rudisha Uzi kwa Mwanza vs Kisumu., nini kipya Mwanza so far?., roads? Rail?, Airport, estates..

Moshi is developed than Nairobi
yani this is the famous Moshi! hua ninaiskia kila uchao.... Yosef, hebu njoo uone... πŸ˜†πŸ˜†
 
mwenye alitaka kununua simu amegoma.. πŸ˜…so... tunarejelea uwanjani tena
 
Kwa hapa watakueelewa eti wanataka kufananisha kibera na tandale hawa jamaa kweli hamnazo wakati saivi mitaa ya tandale imepigwa zege na taaa juu na Barbara zimechorwa
Na pia nilichogundua 89% ya barabara za miji yote Kenya hazina sideways kabisa
 
Bora hata kuingia middle income is somehow making sense to celebrate lakini kujenga flyover ya Ubungo ilikuwa kelele hadi unashangaa hawa bangosha veeepe? Ndio maana tunashukuru yule mshamba wao Mungu katuondolea aisee walikuwa wanatutia aibu sana
 
Swali zuri na good observation,tunataka jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…