Kisumu vs Mwanza

Bora hata kuingia middle income is somehow making sense to celebrate lakini kujenga flyover ya Ubungo ilikuwa kelele hadi unashangaa hawa bangosha veeepe? Ndio maana tunashukuru yule mshamba wao Mungu katuondolea aisee walikuwa wanatutia aibu sana
nani kamoja ☝tu!. πŸ˜†πŸ˜† wish they get time on youtube to see whats going on at nairobi's, expressway project..wata kimya! πŸ™Š
 
Kenya towns are so dirty and unorganised, takataka everywhere

Learn from Tanzania

Tanga Streets, very clean and organised

 
Kenya towns are so dirty and unorganised, takataka everywhere

Learn from Tanzania

Tanga Streets, very clean and organised

uko na shida ya macho wewe, hebu kamuone optician na ukule carrots mingi na mboga za majani
 
wah! sikua nimeona hii... sikujua Arusha iko smart hivi!. very neat and organized! and with skyscapers.. even the CBD is clear, unlike mwanza

na kwa hawa, Dpresident, kitombile na geza ulole.... tafadhalini nawaomba huo mji wenu wa mwanza, hebu mjaribu kuipanga kidogo.. in contrast with A-town, its more dirty, dusty and disorganized. ata CBD sio clear
 
Acha kujipendekeza kwa lofa mdazi alafu nyie endeleeni kujazana ujinga na upumbavu kuhusu MWANZA, Mwanza sie level yenu tumewaacha mshindane na wa size yenu sasa ni kisumu vs arusha, kwa level ambayo mpo sasa nyie na arusha, Mwanza tulishatoka huko mwaka 2005 poleni sana na wivu wenu lakini ndani ya mioyo yenu mnajua Mwanza ni kiwango gani.
 
🀣🀣🀣 kitombile utakufa kwa preshaπŸ˜₯
 
🀣🀣🀣 kitombile utakufa kwa preshaπŸ˜₯
Wanaokufa kwa presha sio presha bali presha ya umasikini ni hawa wanaoshi kama nguruwe kama kuna sehemu kama hii Mwanza nioneshe na ikitokea kwa Tanzania lazima rais ajiuzuru πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚NairobiiiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚slums city in africa

 
even if nairobi has slums, just like its counterparts of, johannesburg, cape town and cairo.. the 4 of these cities are in the same league.. and ranked by forbes as being the top 4 most sophisticated and influential cities in africa, outside any other african city even ahead of lagos.
(leaving poor dar-es-saalam in the grim shadows)
 
Kisumu CBD. Can the poor mwanza have a clean CBD like this.

 
Mwanza has nothing over Kisumu. This is Kisumu CBD, cleaner than all cities and towns in Tanzania.

 
Yes boss ngoja tuwafurahishe Kwa picha zingine za a town
atleast Kwa tz Zanzibar Na arusha ndio kidogo zinaeleweka but still Kwa Kenyan cities hatutii mguu iyo Nakuru yenyewe cio city lakini Mwanza haiitii ndani labda Kwa kuzaliana 🀣🀣

Hao ndugu zangu wa ziwani wanauzwazwa mwingi Sana la lack of exposure
from Mwanza to dar hamna serious city wanakutana nayo so hudhan wao ndo city ya maana duniani πŸ˜₯ wanajisahau kuwa wako katikati ya ufukara wa kutupwa



 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hii A-city ndo saizi ya kisumu city.Mwanza city level zake ni Kampala city,Kigali city,Mombasa city ndo maana jopo la wataalum na Mzee Mkapa wakakubali Mwanza city ndo second largest na best city after Dar hakuna nyingine zaidi.Hayo maneno mengine ni sawa na taarabu tu hayana utaalam wowoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kisumu. The day Mwanza will have high quality roads like these msisahau kututag tafadhali.

View attachment 1786924View attachment 1786925
Mbona vipicha na vigorofa ni vilevile kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ndo maana tukawachia Moshi,iringa na Arusha ndo saizi yenu.Tulijaribu kufunguka kidogo mkalete Mombasa nayo ni old town.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
now this is what i was talking about.. i needed to see a serious city like this for me to give it credit..
A-town, ooyeeh!
 
weeee.... baki na hio laana yako ya size na ukubwa. size tunaizingatia tu kiasi but sanasana sophistication:- cleanliness, social ammenities, regional offices and NGOs, foreign investments, education institutes, industrial prowess, tourism industry, and general infrastructure!.

kama ni size na idadi tu,.. basi nakuru ingekua the 3rd largest city!. but kuna vitu kisumu ikonayo nakuru haina ndo maana nakuru bado haijapewa hadhi ya city status... (ingekua tz, ingepewa in 1990)

boss,. hapa kenya hatuangalii idadii ya watu na ukubwa wa mji, tunazingatia vitu mingi tu!






kama ni idadi na size ya jiji, basi nakuru itaivua mwanza surwali mchana peupe!.
 
Mbona vipicha na vigorofa ni vilevile kila sikuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ndo maana tukawachia Moshi,iringa na Arusha ndo saizi yenu.Tulijaribu kufunguka kidogo mkalete Mombasa nayo ni old town.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimekuonyesha barabara wewe unaongelea gorofa, wewe ushachanganyikiwa tayari. Acha nikuchanganye zaidi.

This is Kisumu.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…