Kisumu vs Mwanza

SGR inaelekea Mwanza, pale Dodoma inapita tu, Arusha SGR sijui itakama inaishi midomoni mwa viongozi wetu. Kigoma inaongelewa kidogo kwa sababu kuna potential ya mizigo kutoka DRC na Burundi.

Nchi hii miji muhimu kibiashara na kiuchumi ni miwili tu Mwz na Dar ndio maana proposal ya kwanza ya ujenzi wa SGR ni ku link bandari ya DSM na MWZ. Na msimsingizie JPM ( Mkanda), huu mzigo ni tokea awanu ya nne na JPM alikuja kutekeleza tu.
 
Wacha kudharau majiji mengine huu uzi haupo kwa ajili ya kudharau mengine! Kila sehemu ina potential zake! Hata Arusha pia ukiacha Dar na Zanzibar, hamna jiji lina 5 and 4 stars hotels nyingi kupita Arusha! Na Mbona ikawa hivyo?
 
Wacha kudharau majiji mengine huu uzi haupo kwa ajili ya kudharau mengine! Kila sehemu ina potential zake! Hata Arusha pia ukiacha Dar na Zanzibar, hamna jiji lina 5 and 4 stars hotels nyingi kupita Arusha! Mbona ikawa hivyo?
Hao wanaoita Mwanza mji wa kimasikini hawadharau ama?
 
Hao wanaoita Mwanza mji wa kimasikini hawadharau ama?
Tuliza mpira jiji la Tanga linakuja kwa kasi investments za EACOP, upanuzi wa bandari na maviwanda ya cement ukiacha EPZ! Usiache mbachao kwa msaala upitao!
 
Tuliza mpira jiji la Tanga linakuja kwa kasi investments za EACOP, upanuzi wa bandari na maviwanda ya cement! Usidharau mchao kwa msaala upitao!
EACOP miji yote litakapopita lazima ifaidike tu. Sema kwa Tanga Bandari itaongeza mapato sana tofauti na miji ambayo bomba limepita tu.
 
EACOP miji yote litakapopita lazima ifaidike tu. Sema kwa Tanga Bandari itaongeza mapato sana tofauti na miji ambayo bomba limepita tu.
Na ndo maana EACOP wanajenga EA largest crude oil terminal at a cost of over $1 bln pale Chongoleani na hata bandari ya sasa inapanuliwa! Hata uwanja wa ndege wa Tanga unapanuliwa! Kwahiyo wacha dharau! Hata Lindi ina michakato ya LNG!
 
Nilishawaambia Tanzania ni Dar na Mwanza tu wengine niwasindikizaji tu.
 
Wacha kudharau majiji mengine huu uzi haupo kwa ajili ya kudharau mengine! Kila sehemu ina potential zake! Hata Arusha pia ukiacha Dar na Zanzibar, hamna jiji lina 5 and 4 stars hotels nyingi kupita Arusha! Na Mbona ikawa hivyo?
Kiongozi tuache kulaumiana mshikaji kasema hivyo coz kuna wana humu kutwa nzima kupondea MWANZA au wewe huwa unafurahi kejeli zao dhidi ya MWANZA?
 
Kiongozi tuache kulaumiana mshikaji kasema hivyo coz kuna wana humu kutwa nzima kupondea MWANZA au wewe huwa unafurahi kejeli zao dhidi ya MWANZA?
Si muwaonyeshe facts za Mwanza? Unajua ni kitu cha ajabu Arusha na her international community na vibrant business mnaiponda hivyo ili kuikuza Mwanza hata kama kiuchumi Mwanza ipo juu ila Arusha pia ipo vizuri na kimiradi ya miundombinu imesahaulika!
 
Walionza kusema Mwz jiji kunaongoza kwa umasiki ni akina nani? Sehemu masikini serikali iangaike bure kuteketeza matrillion? Kwa nini SGR haikuwa proposed kupelekwa Namtumbo?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Si muwaonyeshe facts za Mwanza? Unajua ni kitu cha ajabu Arusha na her international community na vibrant business mnaiponda hivyo ili kuikuza Mwanza hata kama kiuchumi Mwanza ipo juu ila Arusha pia ipo vizuri na kimiradi ya miundombinu imesahaulika!
Sawa kiongozi lakini tunataka wakubali kuwa Mwanza ipo juu yao kiuchumi.
 
Still ni ya Klmanjaro not Arusha ifikie mahari Arusha msimame wenyew sio ktegemea. Klimanjaro kla sku
 
Kwani KIA no Arusha au Klimanjaro?😂😂😂😂😂
 
hivi vitu havija jengwa bado.. kiburi niya nini msela.. mombasani tulikwisha yajenga kitambo... tukienda nairobaa sijui tuaanzia wapi sijui tutamalizia wapi?!!.. kwa sahii tuwachie tu hapo..
Watu wapo site ktambooooo
 
Kuna mtu ana render ya electrical SGR terminal Mwanza?
I can't wait!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…