Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Tunataka areal view Kama hizi hapa za Kisumu [emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 1305099View attachment 1305101
Screenshot_2019-12-27-21-20-42.png
 
Duh aerial view sina kwa sasa...ila I'm sure ntaipata na nitaiweka....ila uelewe mwanza estates zipo zakutosha tu..
Halafu mbona mnawatesa watu kwa kuwapeleka eneo local namna hiyo...
Miji za Kenya hio ndio culture. Infact hizo "local" areas ndio high end estates zote huwa. Talk of Karen, Westlands, Runda, Nyali, Milimani etc...
 
Miji za Kenya hio ndio culture. Infact hizo "local" areas ndio high end estates zote huwa. Talk of Karen, Westlands, Runda, Nyali, Milimani etc...
Sawa ila zijengeni hata sehemu yenye barabara nzuri....ikinyesha mvua si inaharibu access ya wafanyakazi kuingia mjini. .
 
Back
Top Bottom